Kwa mwaka 1 na miezi 9 Serikali ya Samia imeokoa Trilioni 20


Muhimu ni kuwa ikipigwa mnada mgao uwe sawa. Siyo wale walamba asali na vibuyu vyao ndoyo wapewe mgao mkubwa.
 
Hivi ilikuwaje kipindi cha Jiwe TRA ikitoaga report kuwa makusanyo ni Tril 1.3, 1.4, au 1.6 watu wakawa wanabisha kuwa jamaa anapika Data! ila sasahv wanasema wamepiga zaidi hatusikii zile story za ZItto kuwa wanaendelea kupika Data!!
Huyo nae ana mimba yake ya chuki ya Mwendazake isiyotaka kukomaa.Sasa nae ana buyu lake la asali analamba tu.
 
Hii ni wastani wa kukopa Trilioni 1.05 kwa mwezi, ama wastani wa kukopa Trilioni 13 kwa mwaka. Kwa miaka 4 atakayokua madarakani hadi 2025 ataacha deni la Trilioni 51 na jumla ya Deni la taifa litakua Trilioni 122[emoji848][emoji3064][emoji2827]
Wakati huo kutakutakuwa na vituo vya mafuta kila baada ya hatua tatu na yard za magari hadi sebuleni maana ndipo hizi pesa zinakotakatishwa.
 

Wait akitoka madarakani ndio utashangaaa

Utayasikia kama haya ya magufuli

Kwa sasa wimbo wa sifa upo kwake tu
 
Ni hatari sana nchi maskini yenye rasilimali nyingi kuwa na deni kubwa la Taifa.
 
Vp yule iblis dhwaalimu aliwahi kukwambia pesa anapeleka wap we bi. Mdogo??
Utapanic sana!

Nasikia huyu mvaa kobaz mwenzio akisikia kuna mtu atachukua form 2025 stress zinapanda kwa mujibu wa jk
 
Acha umbea ww huoni kuwa mama anaupiga mwingi unataka asikope tulia hivyo hivyo
 
Mwigulu mramba asali alie bebwa na mwenyekit NEC acha ujinga www
 
Mkuuu acha kumjibu mpuuuz asiejielewa na uchumi wake uchwara
 
Kwan Zambia na Kenya walikosea wapi nasi twaenda hukohuko.
2025 tutawapima wanapanda majukwaani kuomba kura kwaraia au kwa mambuzi. Raia wanauwezo wa kuhojin mambuzi hayawezi kuhoji.
Tukitaka kwenda vizuri nchi hii ni lazima tuimarishe upinzani vinginevyo itakula kwetu wataendelea kuuwana maana wameanza kuropoka wenyewe watu wazuri hawafi maanake waliokufa Marais wetu waliopita walikuwa wabaya jamani amini usiamini damu ya mtu nzito
 
Mpumbavu kwenye Ubora wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…