Kwa mwaka 2017 nani aliongoza kwa kutumia lugha zisizo na staha katika JamiiForums ili ajirekebishe mwaka 2018?

Spin doctors!
 
Hao uliotaja nimetembelea profile zao naona wengi wamepigwa ban na kuna mmoja huyo HR666 kapigwa life ban kabisa!
alonso aliingia mara ya mwisho JF mwaka 2012 ...ila Mcharo yupo tena online na dakika moja iliyopita alikuwa anasoma jambo
 
Barcelona ikicheza nenda kule jukwaani kwao.......,utampAta mcharo mcharuko[emoji23] [emoji23]
Ha ha ha kumbe yupo, ngoja nimfate pm nimsalimie, I guess badala ya kuitikia salamu atanipa maneno yake yale hadi nijute kumfahamu πŸ˜€
 
Imebidi niipekue profile yake na ameonekana kwenye ule uzi wa uislam na ukristu. Nimesoma baadhi ya post zake huwa anatoaga mapovu na mitusi tu!
Ila mi namkubali mcharo na matola japo wana maneno unaweza hama mtaa ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…