Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
nimecheka mpaka machozi jf kuna raha-hiyo jibu ni funga kaziKwenye huo uzi kakutana na kichaa mwenzie Alonso14
Padri mcharo anauliza "Unamjua mwanamama Patricia hilary aliyeimba Njiwa peleka salamu?" Alonso akajibu "Huyo mwanamama sindio wewe"
Aisee nilicheka sana
Huyo Genta ilianzishwa ligi na HR 666 alikimbiaBila ya Genta kuwemo siwezi kukubali maana nae kwa shombo na mitusi balaa.
Alikimbia yuleKulikuwa na Uzi fulani mkali Hr666 na Genta sijui uliishafutwa.
Hahahahaha una utani weweMi nimemmiss Padri Mcharo sijui yukwapi
Padri heri ya mwaka mpya popote ulipo
Hujambo?Mm sio mshiriki wa vyama wala na sijachukia, Basi 2020 mbowe atakua laisi
Alifukuzwa na kompyuta akanyang'anywaGentamycine alipotelea wapi......
Noma sana mkuu ndo maana hakuna anayeweza kukimbia jf watu wamechafukwa, ona tu hapa washaanza kutukanana..nimecheka mpaka machozi jf kuna raha-hiyo jibu ni funga kazi
Sijambo heri ya mwaka mpya Valie...Hujambo?
Yupo anapita kimya kimya
Huyo Genta ilianzishwa ligi na HR 666 alikimbia
Acha roho mbaya kwani uliniomba nikakunyima mpk unichukie namna hiyo?Ile bidada inaitwa kapeace haikuwa nyuma
Mkuu nenda pm atakujibu fasta.Evelyn Mwaka mpya huu unifikirie ombi langu..
Hafu kuna huyu jamaa Aleppo anamatusi kama shosti fulani huku kitaa
Tena bora umewahi roll call.oya nipo mkuu
Msikilizie,yakikuzidi kodi jeshi.Jestikilla. "Binti" wa Kinyarwanda huwa anatukana balaa [emoji124][emoji124][emoji124]
Hapa penyewe akija sijui hali yangu itakuwaje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ulete mrejesho kwa zuri au baya litakalokukuta.Ha ha ha kumbe yupo, ngoja nimfate pm nimsalimie, I guess badala ya kuitikia salamu atanipa maneno yake yale hadi nijute kumfahamu 😀
Mi nimemmiss Padri Mcharo sijui yukwapi
Padri heri ya mwaka mpya popote ulipo