SAfi sana ni jambo jema na ni afya kwa nchi wananchi wake wakijitambua.Amini nawaambia kabisa kuwa CCM siyo wajinga kiasi hicho.
Kama watawala wanafuatilia mikutano ya CHADEMA kuhusu katiba mpya naamini wanalo jambo moyoni mwao....
Kumbe?Wa Jiwe kule burigi
Mungu ni mkubwa sanaUko sahihi sana kamanda...mpanda imeitika aisee View attachment 2632645
Aiseeeee !!!Hakika mji wa Mpanda Katavi wametisha wapo tayari kwa mabadiliko
MHE JOHN MNYIKA APIGA KURA YA WAZI KWA WANANCHI JUU SERIKALI KUTENGA HELA ZA KUNUNUA NDEGE
Hahahaha mbona mnajifariji sana?Mwitiko zaidi ya ule wa Lowasa?