Kwa mwamko huu, CCM hawawezi kukubali Katiba Mpya

Tunataka Fedha za Miradi kutoka IMF…hizi picha ni muhimu sana kwa Comrade Mwigulu Nchemba kwny kukamilisha project paper

'Demokrasia imeimarishwa sana katika kipindi hiki ikiwemo kuruhusu mikutano ya Siasa ( angalia kimbatisho)'

Tunawashukuru sana wana maridhiano wenzetu wa upande wa pili kwa kazi hii
Wakati huo jiwe likiwa limegeuka udongo
 
Amini nawaambia kabisa kuwa CCM siyo wajinga kiasi hicho.

Kama watawala wanafuatilia mikutano ya CHADEMA kuhusu katiba mpya naamini wanalo jambo moyoni mwao.

Siamini kama watakuwa tayari kukubali kupitisha katiba mpya ya kweli kwa nia safi kabisa.

Mikutano yote ya CHADEMA imekuwa na mutikio chanya wa wananchi wasomi na kina maamuuma.

Inaonyesha sasa watanzania wameanza kuelewa maana ya upinzani na wapo tayari kuitupilia mbali CCM.

Hapa ni Mpanda ambako CCM huwa inajivunia kupata wapiga kura wengi kila uchaguzi.

CCCCCM hatuogopi Katiba mpya.

KATIBA mpya IPO Kwa ajili ya kuleta mustakabali mpya wa Nchi nzima na Si kuitoa madarakani.

Majira ya Katiba mpya yamefika na yamepata KIBALI kutimia ktk zama hizi, hivyo haikwepeki.

Kaa ukijua pia, ikiwa tutapata Katiba mpya Kwa AMANI, Bado CCCM itapata kuaminiwa zaidi na wananchi.

Wananchi BADO wanaweza kuichagua CCCM wakiamua hivyo tusiwapangie,

Pia ikitokea CCM au CDM vimekufa, na Tanzania ikaendelea kuwepo, hamna Tatizo kabisa.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen
 
CCCCCM hatuogopi Katiba mpya.

KATIBA mpya IPO Kwa ajili ya kuleta mustakabali mpya wa Nchi nzima na Si kuitoa madarakani.

Majira ya Katiba mpya yamefika na yamepata KIBALI kutumia ktk zama hizi, hivyo haikwepeki.

Kaa ukijua pia, ikiwa tutapata Katiba mpya Kwa AMANI, Bado CCCM itapata kuaminiwa zaidi na wananchi.

Wananchi BADO wanaweza kuichagua CCCM wakiamua hivyo tusiwapangie,

Pia ikitokea CCM imekufa, na Tanzania ikaendelea kuwepo, hamna Tatizo.
Upo sahihi sana
 
Amini nawaambia kabisa kuwa CCM siyo wajinga kiasi hicho.

Kama watawala wanafuatilia mikutano ya CHADEMA kuhusu katiba mpya naamini wanalo jambo moyoni mwao.

Siamini kama watakuwa tayari kukubali kupitisha katiba mpya ya kweli kwa nia safi kabisa.

Mikutano yote ya CHADEMA imekuwa na mutikio chanya wa wananchi wasomi na kina maamuuma.

Inaonyesha sasa watanzania wameanza kuelewa maana ya upinzani na wapo tayari kuitupilia mbali CCM.

Hapa ni Mpanda ambako CCM huwa inajivunia kupata wapiga kura wengi kila uchaguzi.

wapinzani wakibana sana hangaya ataongeza ukubwa wa kibuyu cha asali
 
Hangaya mamlaka ya kuzuia au kupanga KATIBA mpya iweje Si KAZI yake.

Wananchi wakishaamua jambo lao na mustakabali wao wa BAADAYE hawazuiliki.

Ni kama tu boss mwenye shamba akiamua kuweka uzio shambani au kubadili mfumo wa KILIMO, kibarua Hana mamlaka kuzuia.

Viongozi wote kuanzia No1. Hadi mwisho ni waajiriwa wa WANANCHI.
 
Ubarikiwe sana
 
Amini nawaambia kabisa kuwa CCM siyo wajinga kiasi hicho.

Kama watawala wanafuatilia mikutano ya CHADEMA kuhusu katiba mpya naamini wanalo jambo moyoni mwao.

Siamini kama watakuwa tayari kukubali kupitisha katiba mpya ya kweli kwa nia safi kabisa.

Mikutano yote ya CHADEMA imekuwa na mutikio chanya wa wananchi wasomi na kina maamuuma.

Inaonyesha sasa watanzania wameanza kuelewa maana ya upinzani na wapo tayari kuitupilia mbali CCM.

Hapa ni Mpanda ambako CCM huwa inajivunia kupata wapiga kura wengi kila uchaguzi.

ccm ndo itakayovuruga mchakato wa katiba mpya kama walivyofanya kwa rasimu ya warioba.
 
CCM inatawala sababu wajinga ni wengi.
Haitaki watu wajue kusoma na kuandika ili wasiweze jua uhalisia wa nchi
 
Amini nawaambia kabisa kuwa CCM siyo wajinga kiasi hicho.

Kama watawala wanafuatilia mikutano ya CHADEMA kuhusu katiba mpya naamini wanalo jambo moyoni mwao.

Siamini kama watakuwa tayari kukubali kupitisha katiba mpya ya kweli kwa nia safi kabisa.

Mikutano yote ya CHADEMA imekuwa na mutikio chanya wa wananchi wasomi na kina maamuuma.

Inaonyesha sasa watanzania wameanza kuelewa maana ya upinzani na wapo tayari kuitupilia mbali CCM.

Hapa ni Mpanda ambako CCM huwa inajivunia kupata wapiga kura wengi kila uchaguzi.

Ni desturi ya wabongo kuhudhuria mikutano kama hujui.
 
CCM inatawala sababu wajinga ni wengi.
Haitaki watu wajue kusoma na kuandika ili wasiweze jua uhalisia wa nchi
Haswaaaa ndiyo maana watoto wao huwezi kwakuta wanasoma shule za kina Kayumba
 
Back
Top Bottom