Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali umelijua hilo. Nani aweke kichwa chake katika mdomo wa mamba kwa CCM kukubali katiba ya ukweli? Jibu ni hakuna!!! Na kila mtu hata Mbowe analijua hili na kukubali iwe Katiba feki kwa mgongo wa maridhiano. Naona hata Tundu Lissu kakubali kuonjeshwa asali kwa kutumia Helikopta maana alikuwa anaona wivu Mbowe kutumia Helikopta wakati yeye anatumia barabara. Sukari ya warembo hiyo kutoka kwa CCMAmini nawaambia kabisa kuwa CCM siyo wajinga kiasi hicho.
Kama watawala wanafuatilia mikutano ya CHADEMA kuhusu katiba mpya naamini wanalo jambo moyoni mwao.
Siamini kama watakuwa tayari kukubali kupitisha katiba mpya ya kweli kwa nia safi kabisa.
Mikutano yote ya CHADEMA imekuwa na mutikio chanya wa wananchi wasomi na kina maamuuma.
Inaonyesha sasa watanzania wameanza kuelewa maana ya upinzani na wapo tayari kuitupilia mbali CCM.
Hapa ni Mpanda ambako CCM huwa inajivunia kupata wapiga kura wengi kila uchaguzi.
Kama inawezekana kirahisi nawe nenda kapeweAfadhali umelijua hilo. Nani aweke kichwa chake katika mdomo wa mamba kwa CCM kukubali katiba ya ukweli? Jibu ni hakuna!!! Na kila mtu hata Mbowe analijua hili na kukubali iwe Katiba feki kwa mgongo wa maridhiano. Naona hata Tundu Lissu kakubali kuonjeshwa asali kwa kutumia Helikopta maana alikuwa anaona wivu Mbowe kutumia Helikopta wakati yeye anatumia barabara. Sukari ya warembo hiyo kutoka kwa CCM
Unataka CCM ifanye nini wakati Mbowe anasifia Samia ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, wapuuzi kama Mmawia ndiyo hawaoni hiloCCM na katiba mpya uenda hawatishiki na muamko huo hivyo watafanya siasa za kujisafisha Kwa sana(hapa itaegemea kwenye upepo wa nchi wakati huo).
Team ya itikadi na uenezi CCM iko kwenye usingizi mzito wakati CHADEMA inachanja mbuga haswa kwenye kanda zenye wapiga Kura wengi , hivi ni kwamba CCM imeishiwa pumzi au kujiamini kumepita kiasi? .
Kwa Mwendo huu iko wazi hatma ya katiba mpya ni baada ya 2025 na si vinginevyo.
IMF ilshatoa fedha acha uongo roho inakuuma.Tunataka Fedha za Miradi kutoka IMF…hizi picha ni muhimu sana kwa Comrade Mwigulu Nchemba kwny kukamilisha project paper
Fedha za IMF hazina deadline ni mchakato endelevu…au tusubiri Katiba mpya ili ujifunze haya ?IMF ilshatoa fedha acha uongo roho inakuuma.
Mkuu kama Uchaguzi utakuwa wa HURU na HAKI basi CHADEMA tunaenda kuchukua DOLA Humphrey Polepole alishasema.ukiacha miaka 7 ya Magufuli huko nyuma kulikuwa na ruhusa ya mikutano na maandamano ? mlibadilisha kipi?
Uchaguzi 'huru na haki' unapiganiwa hauji kama mawimbi ya bahari au chafya …na kupigania huo uhuru na haki unahitaji rasilimali akili na maarifa ambavyo ndio kikwazo kwa sasaMkuu kama Uchaguzi utakuwa wa HURU na HAKI basi CHADEMA tunaenda kuchukua DOLA Humphrey Polepole alishasema.
Acha kazi gn endeleee katiba mpyaAmini nawaambia kabisa kuwa CCM siyo wajinga kiasi hicho.
Kama watawala wanafuatilia mikutano ya CHADEMA kuhusu katiba mpya naamini wanalo jambo moyoni mwao.
Siamini kama watakuwa tayari kukubali kupitisha katiba mpya ya kweli kwa nia safi kabisa.
Mikutano yote ya CHADEMA imekuwa na mutikio chanya wa wananchi wasomi na kina maamuuma.
Inaonyesha sasa watanzania wameanza kuelewa maana ya upinzani na wapo tayari kuitupilia mbali CCM.
Hapa ni Mpanda ambako CCM huwa inajivunia kupata wapiga kura wengi kila uchaguzi.
Ni kuchelewesha mazishi tu ila mgonjwa alishakufarikiAmini nawaambia kabisa kuwa CCM siyo wajinga kiasi hicho.
Kama watawala wanafuatilia mikutano ya CHADEMA kuhusu katiba mpya naamini wanalo jambo moyoni mwao.
Siamini kama watakuwa tayari kukubali kupitisha katiba mpya ya kweli kwa nia safi kabisa.
Mikutano yote ya CHADEMA imekuwa na mutikio chanya wa wananchi wasomi na kina maamuuma.
Inaonyesha sasa watanzania wameanza kuelewa maana ya upinzani na wapo tayari kuitupilia mbali CCM.
Hapa ni Mpanda ambako CCM huwa inajivunia kupata wapiga kura wengi kila uchaguzi.
Mpanda Wananchi ni waelewa sana hata waliwahi kuchagua CHADEMA Mpanda Mjini au umeshasahau?Usiwaamini sana wananchi,kujaa kwenye mkutano usiweke kama alama ya watu kuelewa somo.
Lowassa hukuleta mwitikio bali aliuukuta. Angeenda TLP kisha apate mwitikio ule ndio mngeweza kusema kuwa ni mafuriko ya Lowassa. Kama kuna mahali viongozi wa CDM walitukosea ni kumuokotoa yule mzee tapeli wa kisiasa na kutuletea ndani ya CDM.Mwitiko zaidi ya ule wa Lowasa?