Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm na Sukuma gang wapi na wapi? Hizo nyomi hazijaanza Leo,kipya kinyemi ila ujue ccm hawategemei nyomiNajua sukuma gang mkiona nyomi kama hiyo kwenye mikutano ya cdm mnahara
nipo maeneo ya Kawe kanisani kwa leoUpo sehemu gani hapo Ngara?upo Kabanga au rusumo?
wameshasahu nyomi la Ngoyai 2015 lakini …Mm na Sukuma gang wapi na wapi? Hizo nyomi hazijaanza Leo,kipya kinyemi ila ujue ccm hawategemei nyomi
Kupiga kura imedhihirika huwa wanawapigia CDM, ndio maana kasi ya kulazimisha kupita bila kupingwa inaongezeka. Huku uhayawani wa hali wa juu ukitawala ili CCM watangazwe washindi kwa shuruti.Hao watu Huwa wanakuja kuwashangaa tuu,waambie wakapige kura au kuandamana kama utawaona
CCM ukiona imekubali jambo ni kwamba washalipatia mbinuAmini nawaambia kabisa kuwa CCM siyo wajinga kiasi hicho.
Kama watawala wanafuatilia mikutano ya CHADEMA kuhusu katiba mpya naamini wanalo jambo moyoni mwao.
Siamini kama watakuwa tayari kukubali kupitisha katiba mpya ya kweli kwa nia safi kabisa.
Mikutano yote ya CHADEMA imekuwa na mutikio chanya wa wananchi wasomi na kina maamuuma.
Inaonyesha sasa watanzania wameanza kuelewa maana ya upinzani na wapo tayari kuitupilia mbali CCM.
Hapa ni Mpanda ambako CCM huwa inajivunia kupata wapiga kura wengi kila uchaguzi.
Ngoyai nyomi kalikuta CDM wala sio aliyelileta. Angeenda UPDP apate nyomi lile tungeamini yeye ndio kayaleta. Usidhani hatujui ukweli huo.wameshasahu nyomi la Ngoyai 2015 lakini …
Hawana mbinu yoyote zaidi ya kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola. Wangekuwa na akili hiyo nchi hii isingeendelea kuwa masikini hivi.CCM ukiona imekubali jambo ni kwamba washalipatia mbinu
Katiba mpya itaundwa lkn itakuwa siyo katiba bora, itakuwa na mianya ya ccm kupitisha uhuni waoSiamini kama watakuwa tayari kukubali kupitisha katiba mpya ya kweli kwa nia safi kabisa.
ni kweli kalikuta na halikumsaidiaNgoyai nyomi kalikuta CDM wala sio aliyelileta. Angeenda UPDP apate nyomi lile tungeamini yeye ndio kayaleta. Usidhani hatujui ukweli huo.
Niliwadharau sana viongozi wa CDM kumpokea yule muhuni na kumpa nafasi adhimu vile. Kwa kiwango kikubwa haiba ya CDM iliharibika kwa blunder ile.ni kweli kalikuta na halikumsaidia
kama vile kukimbilia boya baada ya kutoswa melini na wagiriki kumbe boya lenyewe boya kweli
andika Wahamiaji sio wahamihaji …wenye uraia pacha mnaitumia h kinyume na maumbileNipo Rusahunga naenda kwenu Ngara kuhesabu wahamihaji
Nakuunga mkono katika hili. Itakuwa ni katiba ya danganya toto. Katiba ya kweli ni baada ya machafuko, au jeshi kupindua nchi. Kisha maoni ya kweli ya wananchi ndio yangekuwa na nguvu.Katiba mpya itaundwa lkn itakuwa siyo katiba bora, itakuwa na mianya ya ccm kupitisha uhuni wao
Na blunder hii ndiyo ikawa mwanzo wa kuiua hata spirit ya wanachama na wapenzi wa chadema kuwa tayari kufanya chochote kwa jasho na damu.Niliwadharau sana viongozi wa CDM kumpokea yule muhuni na kumpa nafasi adhimu vile. Kwa kiwango kikubwa haiba ya CDM iliharibika kwa blunder ile.