Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam! Mbuzi (ccm) hawezi kunoa kisu (kuunda katiba bora) ili kije kumchinja mwenyeweNakuunga mkono katika hili. Itakuwa ni katiba ya danganya toto. Katiba ya kweli ni baada ya machafuko, au jeshi kupindua nchi. Kisha maoni ya kweli ya wananchi ndio yangekuwa na nguvu.
Sasa hivi kuna kazi mbili kubwaNa blunder hii ndiyo ikawa mwanzo wa kuiua hata spirit ya wanachama na wapenzi wa chadema kuwa tayari kufanya chochote kwa jasho na damu.
HakunaNani atapenda kuachia madaraka!
Nakubaliana nawe kabisa. Huo ni mkakati wa kuhalalisha kuwa demokrasia ipo juu kumbe ni mamluki wa upande uleeeee walioagizwa kujaza uwanja. Inanikumbusha TIMU za Yanga na Simba wanapocheza na timu za nje mashabiki wa upande pinzani hujaa ili kuwazomea mahasimu wao. Hatareeee!Tunataka Fedha za Miradi kutoka IMF…hizi picha ni muhimu sana kwa Comrade Mwigulu Nchemba kwny kukamilisha project paper
'Demokrasia imeimarishwa sana katika kipindi hiki ikiwemo kuruhusu mikutano ya Siasa ( angalia kimbatisho)'
Tunawashukuru sana wana maridhiano wenzetu wa upande wa pili kwa kazi hii
Hata Idrisa Abdul wakee Rais wa nne wa Znzl aliondoka Ikulu ya Znz baada tu ya miaka mitano (1985-1990)Aliweza mwl Jk Nyerere tu
Hakika umetoa mchango mzuri sana ikiwa ni elimu tosha kwa watanzania.Watanzania tunafeli sana pale tunapowaachia wana siasa peke yao ndio wapambanie upatikanaji wa katiba mpya. Watanzania tusingekuwa na usingizi wa pono hili suala la katiba mpya lingekuwa ni jukumu la kila mtanzania mwenye akili timamu kupaza sauti tukiongozwa na makundi mbali mbali ya kiraia kama viongozi wa dini, wasomi, wana sheria na asasi mbali mbali za kiraia. Kwakuwa tumeamua chadema ndio wapambanie upatikanaji wa katiba basi hatupaswi kubeza juhudi na jitihada wanazozionesha. Kama hatuwezi kuwasaidia chadema we better keep quiet tusubiri matokeo.
Babu seya alihukumiwa kifungo cha maisha vs nusurat hanje kifungo cha kisiasa/ mizengwe . Nani alikuwa na hatari ya kufia gerezani? Tangu lini wafungwa wakatolewa magerezani usiku? Alitolewaje nani alimtoa? Kwanini henje na kwann usiku?kwa hiyo Babu Seya asingetolewa kabisa hiyo kutolewa usiku isingekuwa hoja ?
Jiwe aliko huko atakuwa yupo taabani kwa kujibu maswaliBabu seya alihukumiwa kifungo cha maisha vs nusurat hanje kifungo cha kisiasa/ mizengwe . Nani alikuwa na hatari ya kufia gerezani? Tangu lini wafungwa wakatolewa magerezani usiku? Alitolewaje nani alimtoa? Kwanini henje na kwann usiku?
Amen!Hakika umetoa mchango mzuri sana ikiwa ni elimi tosha kwa watanzania.
Ubarikiwe sana popote pale ulipo na sisi wana cdm kamwe hatutachoka au kukatishwa tamaa na wanaobeza.
Tume kama haipo huru haiwezi kutumia electronic devices au wataharibu mfumo ili kukipa ushindi chama tawala .CCM inalijua sn hilo jambo, tatizo siyo katiba mpya tatizo ni kuweka vifaa vya ki-electronic vya kupigia kura. over