Kwa mwamko huu, CCM hawawezi kukubali Katiba Mpya

Kwa mwamko huu, CCM hawawezi kukubali Katiba Mpya

Kenya walipata katiba mpya nini kimeendelea, sipingi katiba mpya but maendeleo ni mind set kama unahisi katiba itakuletea ugali au itakusomeshea watt unajidanganya. Inshort ni wanasiasa wanatafuta ni vipi wafanikishe malengo yao kwa kupitia mgongo wa katiba mpya.
Kwenye uzi wangu hakuna sehemu nimesema kuwa katiba mpya italeta ugali kwa mtanzania.

Jaribu kutumia akili yako inavyopaswa basi angalau kwa 40%
 
Sina shida na uwepo wajinga , inawezekana tutakuja kuwa werevu hapo mbele ya safari!! Kinachinisumbua ni jitihada za wazi kabisa za watawala kutufanya tuendelee kuwa wajinga !!!
Mtu unadai katiba mpya ambayo itapunguza madaraka kwa viongozi na kuleta ahueni kwa mwananchi, anatokea kiongozi na kusema katiba mpya italeta vurugu!! Hivi huyu lweli anadhamira ya kumtoa mtu kwenye ujinga?
Matokeo yake ndo haya mkuu wa mkoa anaharibu mkoa X anapelekwa mkoa Z katika watu zaidi ya milioni 60 tunakosa replacement hadi turudie watu hao hao?
Hao ndiyo kwenye kundi la wajinga hadi kufikia hatua mtu anajiita CHAWA
 
Katiba mpya ni kwa ajili ya mimi na wewe na vizazi vyetu.
Chadema wanaweza wasishieke dola hata kama katiba mpya itakuja ila m8mi na wewe tutasalimika na utawala guu wa kifalme ambao the elites wanaonekana kutoka kwenye circle moja
Mbn kwny chadema hakuna ukomo wa madaraka au katiba yao haiakisi utawala wa kitaifa.
 
Kwenye uzi wangu hakuna sehemu nimesema kuwa katiba mpya italeta ugali kwa mtanzania.

Jaribu kutumia akili yako inavyopaswa basi angalau kwa 40%
Sasa katiba mpya ambayo haita aksi maendeleo ni nn? Kichwa box kweli mnawaza madaraka tu.
 
Mbn kwny chadema hakuna ukomo wa madaraka au katiba yao haiakisi utawala wa kitaifa.
Wacha upumbavu wewe kenge wa lumumba.

Ukitaka kuongelea katiba ya cdm anzisha uzi wake tutachangia vizuri tu lkn hapa tunaongelea katiba ya JMT
 
Mbn kwny chadema hakuna ukomo wa madaraka au katiba yao haiakisi utawala wa kitaifa.
Chadema ilishawahi kushika dola? Impact ya mbowe kukaa madarakani kwa muda mwingi unataka kusema inafanana na mkuu wa mkoa abayeshindwa kazi mkoa x a ahamishiwa mkoa mwingine kwa gharama ya kodi zako?
 
Wachana na hilo zombie la lumumba hadi linajiita chawa
 
Wacha upumbavu wewe kenge wa lumumba.

Ukitaka kuongelea katiba ya cdm anzisha uzi wake tutachangia vizuri tu lkn hapa tunaongelea katiba ya JMT
Mtu anataka katiba mpya halafu hawezinkubishana vzuri inapelekea kutukana. Nyie ndo mnataka tuwape nchi.
 
Kenya walipata katiba mpya nini kimeendelea, sipingi katiba mpya but maendeleo ni mind set kama unahisi katiba itakuletea ugali au itakusomeshea watt unajidanganya. Inshort ni wanasiasa wanatafuta ni vipi wafanikishe malengo yao kwa kupitia mgongo wa katiba mpya.
Kenya kwa namna yeyote ile huwezi kuilinganisha na Tanzania kwa sababu tatizo la Kenya ni Ukabila !!
 
Chadema ilishawahi kushika dola? Impact ya mbowe kukaa madarakani kwa muda mwingi unataka kusema inafanana na mkuu wa mkoa abayeshindwa kazi mkoa x a ahamishiwa mkoa mwingine kwa gharama ya kodi zako?
Kama chama ambacho kinalilia kushika dola kinashindwa kuwa na katiba inayo aksi uongozi wa kitaifa kuna chama kweli hapo. Anzeni kwanza na katiba ya chama chenu haiwezekani kiongozi mkuu wa chama anakuwa yule yule kila mwaka kwa nn kusiwepo na ukomo wa madaraka?

Hii inamanisha kuwa hicho chama kikipata dola kinaweza ondoa ukomo wa madaraka kwa Rais. Kama mwenyekiti wake tu hataki kung'oka akipata dola si ndo atajimilikisha nchi.

Mnalilia katiba mpya wakati katiba yenu tu ni mbovu. Chama kimejaa ukabila na uzandiki, kebehi na matusi ndo nyumbani kwao.
 
Maana nachoona hapa ni upiganiwaji wa kuchukua Dola na si kwa maslahi mapana ya Taifa.

CHADEMA anaombea kuwepo na katiba mpya huku akiamini ndo itakuwa rahisi kwa yeye kuchukua nchi, CCM naye anahofia katiba mpya akihisi ndo itakuwa upenyo wa yeye kupoteza madaraka.

Ila ukifatialia kwa ndani utagundua hii vita ya katiba ni vita ya wanasiasa kuhombania kupata madaraka mwananchi anatumika kama kiunganishi tu kufika nchi ya ahadi.

Kama kuna mtu anaamini uwepo wa katiba mpya ndo utaleta mabadiliko chanya kwa taifa hili anajidanganya maana katiba mpya inaweza kuwepo na viongozi wakashindwa kuiheshimu wakaendelea kuikanyaga na hakuna kitakochotokea.

Mm ningeona mikutano hii ya katiba mpya inafaa endapo mijadala yake ingefokasi zaidi katika maendeleo yatakayotokana na katiba na si kwa sababu ya kuchukua dola.
Uko sahihi kabisa. Kwa mfano ukisoma ile katiba pendekezwa utagundua bora hii iliyopo. Hata rasimu ya Warioba ina mambo ya hovyo mno kuwa-favor wanasiasa. Wananchi wakiwa tayari katiba itabadilishwa na kutakuwa hakuna wa kuzuia. Sasa hivi CHADEMA wanawaimbisha wafuasi wao kuwa tunataka katiba mpya lakini ukiuliza mfuasi yeyote kuwa unajua nini kuhusu katiba ya sasa anabaki anatoa macho.
 
Nakuona CHAWA kwenye ubora wako
 
Amini nawaambia kabisa kuwa CCM siyo wajinga kiasi hicho.

Kama watawala wanafuatilia mikutano ya CHADEMA kuhusu katiba mpya naamini wanalo jambo moyoni mwao.

Siamini kama watakuwa tayari kukubali kupitisha katiba mpya ya kweli kwa nia safi kabisa.

Mikutano yote ya CHADEMA imekuwa na mutikio chanya wa wananchi wasomi na kina maamuuma.

Inaonyesha sasa watanzania wameanza kuelewa maana ya upinzani na wapo tayari kuitupilia mbali CCM.

Hapa ni Mpanda ambako CCM huwa inajivunia kupata wapiga kura wengi kila uchaguzi.

kinachotisha ni kwamba wote hao wamekwenda kwa hiari yao, hawajaorodheshwa wakapewa rushwa ili wahudhurie mkutano wala usafiri
 
Uko sahihi kabisa. Kwa mfano ukisoma ile katiba pendekezwa utagundua bora hii iliyopo. Hata rasimu ya Warioba ina mambo ya hovyo mno kuwa-favor wanasiasa. Wananchi wakiwa tayari katiba itabadilishwa na kutakuwa hakuna wa kuzuia. Sasa hivi CHADEMA wanawaimbisha wafuasi wao kuwa tunataka katiba mpya lakini ukiuliza mfuasi yeyote kuwa unajua nini kuhusu katiba ya sasa anabaki anatoa macho.
Ngoja waje 🤣
 
Back
Top Bottom