Kwa mwamko huu, CCM hawawezi kukubali Katiba Mpya

Ni desturi ya wabongo kuhudhuria mikutano kama hujui.
Hakuna aisee. Si tu desturi au utamaduni..

Bali ni lazima kuwe na push factor inayokufanya uende kwenye mkutano wa vyama vya siasa.

Mfano, Mimi kiongozi yeyote wa CCM hata aje kufanyia mkutano wake nyuma ya nyumba yangu sitamani hata kumsikiliza sauti yake kwa sababu;

1. Kwa sasa CCM haina connection na wananchi kihisia na hata kimwili..

2. Sababu ya hiyo☝️☝️☝️point hapo juu ni kwa sababu viongozi wote wa CCM na serikali yao ni waongo, wanafiki, wezi, mafisadi, wabinafsi, si wavumilivu wachoyo na hawana integrity (maneno na matendo yao ni tofauti).

3. Watu wamechoka kusikia vitu na nyimbo zilezile za ki - CCM tangu uhuru (1961) zisizo na chorus. Watu wamechoka kusikia maneno mengi huku vitendo vikiwa hafifu au hakuna kabisa (ulaghai wa CCM)

LAKINI, ziko push factors za watu kuhudhuria mikutano ya CHADEMA au vyama vingine vya siasa nje ya CCM Kwa hiari yao wenyewe pasipo kulipiwa nauli au kubebwa kwenye malori. Hizi ni;

1. Watu wanataka kusikia maneno tofauti na yenye matumaini yanalenga kutoa mwanga wa kutatua changamoto zao za kiuchumi na kijamii (maisha)

2. Watu wanataka mabadiliko ya mifumo ya kujitawala. Hii iliyopo sasa imeshafeli..

3. Watu wamechoka kupewa matumaini hewa na watawala waliokaa madarakani mpaka matako yao yalishaota sugu kama ya nyani..

Hii mikutano wakija kwenye eneo langu, Mimi na nyumba yangu yote tutakwenda kuwasikiliza na kuungana nao ktk mapambano haya💪💪💪
 
Hakuna aisee. Si tu desturi au utamaduni..

Bali ni lazima kuwe na push factor inayokufanya uende kwenye mkutano wa vyama vya siasa.

Mfano, Mimi kiongozi yeyote wa CCM hata aje kufanyia mkutano wake nyuma ya nyumba yangu sitamani hata kumsikiliza sauti yake kwa sababu;

1. Kwa sasa CCM haina connection na wananchi kihisia na hata kimwili..

2. Sababu ya hiyo[emoji3516][emoji3516][emoji3516]point hapo juu ni kwa sababu viongozi wote wa CCM na serikali yao ni waongo, wanafiki, wezi, mafisadi, wabinafsi, si wavumilivu wachoyo na hawana integrity (maneno na matendo yao ni tofauti).

3. Watu wamechoka kusikia vitu na nyimbo zilezile za ki - CCM tangu uhuru (1961) zisizo na chorus. Watu wamechoka kusikia maneno mengi huku vitendo vikiwa hafifu au hakuna kabisa (ulaghai wa CCM)

LAKINI, ziko push factors za watu kuhudhuria mikutano ya CHADEMA au vyama vingine vya siasa nje ya CCM Kwa hiari yao wenyewe pasipo kulipiwa nauli au kubebwa kwenye malori. Hizi ni;

1. Watu wanataka kusikia maneno tofauti na yenye matumaini yanalenga kutoa mwanga wa kutatua changamoto zao za kiuchumi na kijamii (maisha)

2. Watu wanataka mabadiliko ya mifumo ya kujitawala. Hii iliyopo sasa imeshafeli..

3. Watu wamechoka kupewa matumaini hewa na watawala waliokaa madarakani mpaka matako yao yalishaota sugu kama ya nyani..

Hii mikutano wakija kwenye eneo langu, Mimi na nyumba yangu yote tutakwenda kuwasikiliza na kuungana nao ktk mapambano haya[emoji123][emoji123][emoji123]
Mungu akuongezee busara kama hivi ulivyo
 
Back
Top Bottom