Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimekwambia nahitaji heshima kutoka kwako. Au kutukana na kukebehi ndo misingi yenu. Mwny akili kubwa haandiki ushubwada huwo.CHAWA kama wewe hustahili heshima
🤣🤣🤣🤣Mwambie kuwa Kenya katiba yao imewasaidia sana hasa upande wa haki mahakamani
Unaona sasa ?? Huu ndio mtaji mkuwa wa chama tawala na wewe ni hazina kuu Ccm hawakubali kupoteza watu kama nyie!!Kama chama ambacho kinalilia kushika dola kinashindwa kuwa na katiba inayo aksi uongozi wa kitaifa kuna chama kweli hapo. Anzeni kwanza na katiba ya chama chenu haiwezekani kiongozi mkuu wa chama anakuwa yule yule kila mwaka kwa nn kusiwepo na ukomo wa madaraka?
Hii inamanisha kuwa hicho chama kikipata dola kinaweza ondoa ukomo wa madaraka kwa Rais. Kama mwenyekiti wake tu hataki kung'oka akipata dola si ndo atajimilikisha nchi.
Mnalilia katiba mpya wakati katiba yenu tu ni mbovu. Chama kimejaa ukabila na uzandiki, kebehi na matusi ndo nyumbani kwao.
Na ukabila ni process wanakwenda kuumaliza na watakuwa wamoja very soon.Kenya kwa namna yeyote ile huwezi kuilinganisha na Tanzania kwa sababu tatizo la Kenya ni Ukabila !!
Hakuna anayepinga katiba mpya. Ila ninachowaza kwa sauti ni juu ya yule anayenihubiria swala zima la katiba mpya.Unaona sasa ?? Huu ndio mtaji mkuwa wa chama tawala na wewe ni hazina kuu Ccm hawakubali kupoteza watu kama nyie!!
Mimi naunga mkono mtu au chama chochote kinachodai katiba mpya , kwamba chadema watafanya niini kama wakitwaa nchi hiyo ni juu yao !!ila kitu kimoja cha wazi kabisa ni kuwa hawataweza kuichezea nchi kama katiba itakuwa nzuri.
Katiba ya ccm wanakwambia tume ya uchaguzi ikisha mtangaza mshindi wa urais hakuna kuhoji popote!Unaona sasa ?? Huu ndio mtaji mkuwa wa chama tawala na wewe ni hazina kuu Ccm hawakubali kupoteza watu kama nyie!!
Mimi naunga mkono mtu au chama chochote kinachodai katiba mpya , kwamba chadema watafanya niini kama wakitwaa nchi hiyo ni juu yao !!ila kitu kimoja cha wazi kabisa ni kuwa hawataweza kuichezea nchi kama katiba itakuwa nzuri.
Na katiba ya chadema inadai mtu akishakuwa mwenyekiti wa chama hana ukomo mpk pale atakapochoka yeye kugombea.Katiba ya ccm wanakwambia tume ya uchaguzi ikisha mtangaza mshindi wa urais hakuna kuhoji popote!
Huu ni ujambazi mkubwa sana kwenye eneo la siasa za Tanzania.
Mungu alishatuondolea JiweNa katiba ya chadema inadai mtu akishakuwa mwenyekiti wa chama hana ukomo mpk pale atakapochoka yeye kugombea.
Watanzania tuogopeni matapeli nchi yetu isije geuzwa kama Uganda au Rwanda maana viongozi wake wana uchu sana na madaraka.
Na soon atakuondoa na ww pia.Mungu alishatuondolea Jiwe
Jiwe aliasisi siasa mbaya sanaNa soon atakuondoa na ww pia.
KabisaNa ukabila ni process wanakwenda kuumaliza na watakuwa wamoja very soon.
Na ndicho watu wenye kujitambua wanataka kuona Nchi yao haichezewi chezewi kutokana na mapungufu mengi yaliyopo kwenye Katiba iliyopo ambayo pamoja na mapungufu yote yaliyomo pia imerundika madaraka yote makubwa kwa Rais wa Nchi kitu ambacho hata hayati Mwalimu Nyerere alionyesha wasiwasi wake mkubwa kwa hayo madaraka!Unaona sasa ?? Huu ndio mtaji mkuwa wa chama tawala na wewe ni hazina kuu Ccm hawakubali kupoteza watu kama nyie!!
Mimi naunga mkono mtu au chama chochote kinachodai katiba mpya , kwamba chadema watafanya niini kama wakitwaa nchi hiyo ni juu yao !!ila kitu kimoja cha wazi kabisa ni kuwa hawataweza kuichezea nchi kama katiba itakuwa nzuri.
Rasimu ya warioba uliisoma ukaielewa broo?Uko sahihi kabisa. Kwa mfano ukisoma ile katiba pendekezwa utagundua bora hii iliyopo. Hata rasimu ya Warioba ina mambo ya hovyo mno kuwa-favor wanasiasa. Wananchi wakiwa tayari katiba itabadilishwa na kutakuwa hakuna wa kuzuia. Sasa hivi CHADEMA wanawaimbisha wafuasi wao kuwa tunataka katiba mpya lakini ukiuliza mfuasi yeyote kuwa unajua nini kuhusu katiba ya sasa anabaki anatoa macho.
Ni kama vile wanaamini hii Katiba tu ndio inayowapa ushindi 😅🙏 !