contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
Hajasema tajiri, kasema awe na kipato, hata ningekuwa mimi natafuta ningekuwa makini sana kwenye hilo, huna mwelekeo pita mbali kabisa.Isije kuwa unatafuta egemeo aiseii...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajasema tajiri, kasema awe na kipato, hata ningekuwa mimi natafuta ningekuwa makini sana kwenye hilo, huna mwelekeo pita mbali kabisa.Isije kuwa unatafuta egemeo aiseii...!
Ni mwanamke au mwanaume aliyezaliwa na kukuta kila kitu kwao, ndiye anayeweza kuandika ulichoandikaMiaka 30 ana Panga na jembe? Ili mkaanze pamoja? Bora angekutana naye akiwa yeye 15 mwanamume 18, wakaanza pamoja 30, hana hela ya sabuni, ya kujihudumia huyo sio mwanamume ni mzigo nyumbani.
Ni mwanadamu ajuaye kuwa ukitafuta kwa dhati toka ukiwa na miaka 25 tu, hata kama unauza mihogo, huwezi kuwa na jembe na Panga pekee at the age of 30! Kubali kataa lakini huo ndio ukweli, mwanamume ama mwanamke ambaye anamiaka 30 ana nguo zake tu na hana sababu ya msingi ya kuwa kwenye hali hiyo, huyo ni mzigo, asante nimewakilisha.Ni mwanamke au mwanaume aliyezaliwa na kukuta kila kitu kwao, ndiye anayeweza kuandika ulichoandika
Upo serious Kweli??Salaam wandugu nmechoka kuwa lonely na nnaona huu ni muda muafaka wa mm kuwa na familia so natafuta mwanaume alie serious na alie na uhitaji kama wangu
-Nna 28yrs
-Black in colour
-Ni mkristo
-Nimeajiriwa
Sifa za mwanaume
-Awe ni Christian
-Mwenye kipato chake
-Itakua vizuri akiwa anapatika
morogoro au dar es salaam
-Awe kweli yupo seriouse
-Umri kuanzia 30
KARIBUNI!