Kwa mwanaume alie na utayari wa kuwa na familia

Kwa mwanaume alie na utayari wa kuwa na familia

haya mambo ya kutafutana mitandaoni hukawiii kupata mwenza "mwezi mchanga" ama kuzaa watoto vichwa vidogo kama goroli ama koboko

kuja kushtuka kuona nduguze ni mulemule, asee kila la kheri ila ikimpata hakikisha unafahamu nduguze, nae afahamu nduguzo. mambo yaende poa
 
Dah......hiyo age ndiyo fainali...... Punguza vigezo bana[emoji87]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Salaam wandugu nmechoka kuwa lonely na nnaona huu ni muda muafaka wa mm kuwa na familia so natafuta mwanaume alie serious na alie na uhitaji kama wangu

-Nna 28yrs
-Black in colour
-Ni mkristo
-Nimeajiriwa

Sifa za mwanaume

-Awe ni Christian

-Mwenye kipato chake

-Itakua vizuri akiwa anapatika
morogoro au dar es salaam

-Awe kweli yupo seriouse

-Umri kuanzia 30

KARIBUNI!
nimechelewa ?
 
Back
Top Bottom