Kwa mwanaume alie na utayari wa kuwa na familia

Ujataja
1. Elimu yako
2. Umesomea nini
3. Dhehebu lako
4. Kabila lako
5. Upo Private/Government Sector

Ni muhimu kuweka sawa nilivyotaja hapo juu.
 
Miaka 30 ana Panga na jembe? Ili mkaanze pamoja? Bora angekutana naye akiwa yeye 15 mwanamume 18, wakaanza pamoja 30, hana hela ya sabuni, ya kujihudumia huyo sio mwanamume ni mzigo nyumbani.
Ni mwanamke au mwanaume aliyezaliwa na kukuta kila kitu kwao, ndiye anayeweza kuandika ulichoandika
 
Ni mwanamke au mwanaume aliyezaliwa na kukuta kila kitu kwao, ndiye anayeweza kuandika ulichoandika
Ni mwanadamu ajuaye kuwa ukitafuta kwa dhati toka ukiwa na miaka 25 tu, hata kama unauza mihogo, huwezi kuwa na jembe na Panga pekee at the age of 30! Kubali kataa lakini huo ndio ukweli, mwanamume ama mwanamke ambaye anamiaka 30 ana nguo zake tu na hana sababu ya msingi ya kuwa kwenye hali hiyo, huyo ni mzigo, asante nimewakilisha.
 
Af mailolijua wengi wa wahanga haya mambo ya


Kutafta mwenza n wale tulio
Wazoea na id zao maruufu
Ndo hua wanakuja na id
Mpya
 
Kama mtu anakosa vigezo vyote hivyo ila anacho kimoja tu (ana kipato chake) vp anakaribishwa?
 
Wewe dada upo??
[emoji87] umeadimika si kawaida

RubiiKimimi[emoji85]
 
Hahahahahahaha... naona saiv mnafosi kingi

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Ungekua muislamu ningekuja tuyajenge,
dini hizi zinatunyima fursa
 
Upo serious Kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…