Ya kumuhonga mapesa mengi na yeye anipende tu.Toa sababu na maslahi yapi kwa familia Yako ๐๐๐
Awe Mke au Mpenzi, kwanza anayo hiyo Akili ya biashara?Unaongelea mpenz au Mke?.
Utakuja kulia kilio kama cha ambulance. We jizime tu data alaf mfungulia mpenz wako biashara.
Kama unampenda msupport mtaji apambane mwenyewe( mpe na sio kumkopesha) na sio kumfungulia kitu.
Hakikisha kabla ya kumsupprt mpenz wako. Mama yako pia uwe ushampa support ya kutosha.
Hakuna bishara yoyote nzuri ya kumfungulia mtu mwingineToa sababu na maslahi yapi kwa familia Yako ๐๐๐
๐๐๐๐Mwanamke kitu anaweza shika kwa ustadi ni Mimba pekee.
Mstari wa mwishoo umekaa poa snaaUnaongelea mpenz au Mke?.
Utakuja kulia kilio kama cha ambulance. We jizime tu data alaf mfungulia mpenz wako biashara.
Kama unampenda msupport mtaji apambane mwenyewe( mpe na sio kumkopesha) na sio kumfungulia kitu.
Hakikisha kabla ya kumsupprt mpenz wako. Mama yako pia uwe ushampa support ya kutosha.
Wewe kutwa kucheka cheka kama umetiwa ๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐