Kwa mwanaume, biashara gani ni nzuri kumfungulia mapenzi wako?

Unaongelea mpenz au Mke?.

Utakuja kulia kilio kama cha ambulance. We jizime tu data alaf mfungulia mpenz wako biashara.

Kama unampenda msupport mtaji apambane mwenyewe( mpe na sio kumkopesha) na sio kumfungulia kitu.

Hakikisha kabla ya kumsupprt mpenz wako. Mama yako pia uwe ushampa support ya kutosha.
 
Awe Mke au Mpenzi, kwanza anayo hiyo Akili ya biashara?

Nani kaja na hiyo idea? Kama
Ni ww ndio ume introduce then atakuwa anafanya mawazo yako na sio yake

Unakuta mtu hatoki familia ya biashara
Hajawahi fanya biashara
Sababu kubwa ya kufunguliwa biashara ni being Jobless but sio kuwa ni passion yake
Then wazo la biashara biashara linatoka kwako

Mnachokitafuta mtakipata
 
Mstari wa mwishoo umekaa poa snaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…