Kwa mwendelezo wa unyanyasaji huu, Serikali mnazidi kujiweka njia panda

Kwa mwendelezo wa unyanyasaji huu, Serikali mnazidi kujiweka njia panda

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hatua stahiki zinahitajika hapa kama si mwendelezo wa kujisahau:



Ya Mwigulu, Nape na walamba asali wengine tumeyaona. Kama vile haitoshi tena tunastaajabu ya Waziri Masauni.

Asali mlambe nyie na kukiuka haki zetu juu?

Hivi mnawajibika kwa nani enyi miungu watu?
 
Back
Top Bottom