B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Aug 22, 2022 #1 Hatua stahiki zinahitajika hapa kama si mwendelezo wa kujisahau: Your browser is not able to display this video. Ya Mwigulu, Nape na walamba asali wengine tumeyaona. Kama vile haitoshi tena tunastaajabu ya Waziri Masauni. Asali mlambe nyie na kukiuka haki zetu juu? Hivi mnawajibika kwa nani enyi miungu watu?
Hatua stahiki zinahitajika hapa kama si mwendelezo wa kujisahau: Your browser is not able to display this video. Ya Mwigulu, Nape na walamba asali wengine tumeyaona. Kama vile haitoshi tena tunastaajabu ya Waziri Masauni. Asali mlambe nyie na kukiuka haki zetu juu? Hivi mnawajibika kwa nani enyi miungu watu?