Kwa mwendo huu machawa wa Samia wataendelea kupeta

Kwa mwendo huu machawa wa Samia wataendelea kupeta

Salama ya upinzani kuchukua dola ilikuwa mikononi mwa maridhiano ambayo yangepelekea uundwaji wa katiba mpya ambayo ingezaa tume huru ya uchaguzi.

Na jambo hili lilikuwa pia linasubiriwa kwa hamu kubwa Sana na sukuma gang ili wajaribu kutupa karata yao kumuondoa Samia na kundi lake. (Ndiyo maana walishangilia sana walipoibuka washindi kwenye wajumbe wa NEC kama mnakumbuka)

Wakati wote huu kundi la ccm-Samia lilikuwa na wasiwasi lilikuwa linapongana na msimamo wa rais Samia aliyeonekana kuamini ktk maridhiano. Na aliwahi kutamka hadharani kuwa anapingwa na wanaccm wenzake.

Kwa mtifuano uliotokea kati ya rais Samia na upinzani ktk sakata la DPW kwa vyovyote vile ccm-Samia wanashangilia kimoyomoyo huku sukuma gang wakilia kilio cha mbwa koko.

Kwasabb mipango na nia ya kuunda katiba mpya ambayo ingeliweka mazingira bora ya kila mtu kupata ushindi ktk chaguzi imeyeyuka rasmi.
Sukuma Gang hatuna mashaka na uwekezaji. Hata Jiwe Magufuli alikuwa anakaribisha wawekezaji. Sisi Sukuma Gang tunapingana na wanaomsema vibaya Mama Samia linapokuja suala la kuwaletea maendeleo Watanzania!
 
Hawana sifa mbaya kama Samia.
Wana sifa nzuri sana tu lkn hawaachi kutumia gharama kubwa kujitangaza.
Hakuna asiyeijua CDM, CUF, ACT, CCM nk. Lkn wakiacha tu kujitangaza utakuwa ndo mwisho wao, na ndo mana hata lile shetani lenu la Chato lilidhibiti upinzani kufanya mikutano ili kuwamaliza
 
Back
Top Bottom