Kwa mwendo huu machawa wa Samia wataendelea kupeta

Sukuma Gang hatuna mashaka na uwekezaji. Hata Jiwe Magufuli alikuwa anakaribisha wawekezaji. Sisi Sukuma Gang tunapingana na wanaomsema vibaya Mama Samia linapokuja suala la kuwaletea maendeleo Watanzania!
 
Hawana sifa mbaya kama Samia.
Wana sifa nzuri sana tu lkn hawaachi kutumia gharama kubwa kujitangaza.
Hakuna asiyeijua CDM, CUF, ACT, CCM nk. Lkn wakiacha tu kujitangaza utakuwa ndo mwisho wao, na ndo mana hata lile shetani lenu la Chato lilidhibiti upinzani kufanya mikutano ili kuwamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…