mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Muuza ngada maarufuAcha wivu na chuki,Huyo Riz1 alishawai haribu wapi?
Mwacheni aliyebahatika abahatike
Kama yale yalipiga 1.2 trillion
Ajabu kumsingizia kashfa bika ushahidiAcha wivu na chuki,Huyo Riz1 alishawai haribu wapi?
Mwacheni aliyebahatika abahatike
Kinachowauma hawakisemi, wanachokisema haki-exist..Mbona zengwe sana.
Punguzeni lawama na tuhuma za kusadikika ndugu zangu.
Acha wivu na chuki,Huyo Riz1 alishawai haribu wapi?
Mwacheni aliyebahatika abahatike
Hajawai kuuza unga yule hakua yeye ni ndugu yake mnamchafua kwa wivu tuMuuza ngada maarufu
Wewe Ni kichaaUpigaji kwa kwenda mbele!! mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! viwanja vya wazi pole yao!! Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi( za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!! Tuwe wakweli!! unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Kuna wakati ccm haijawahi kupiga?Upigaji kwa kwenda mbele!! mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! viwanja vya wazi pole yao!! Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi( za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!! Tuwe wakweli!! unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Mbona ufisadi ulitaradad zaidi kwa JPM, alijenga kiwanja cha ndege kule chato hela katoa wp?Upigaji kwa kwenda mbele!! mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! viwanja vya wazi pole yao!! Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi( za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!! Tuwe wakweli!! unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Ratco bus amerudi tayari.
Dar Lux naye soon anamwaga mzigo.
[emoji1484]
Jamani acheni nchi ifunguliwe asee [emoji23] akija wa kwenu aje aifunge (wanasema)