KWA MWENDO HUU: Tutegemee Home Shopping Centre kurudi - kazi (iliyositishwa) iendelee!

Ratco bus amerudi tayari.
Dar Lux naye soon anamwaga mzigo.
[emoji1484]
Jamani acheni nchi ifunguliwe asee [emoji23] akija wa kwenu aje aifunge (wanasema)
Ngoja nikaiuhishe leseni ya mabasi.Kitaa kimechosha.
 
Hivi huyu Riz aliwaibia nini? Au ndio ile chuki ya masikini kwa wenye nacho!!
 
Upigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!!

Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi (za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!

Tuwe wakweli!! Unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Katafute shamba ulime acha longolongo
 
Riziwani alishamuibia nani? Mbona mnamchukia bila sababu?
 
Upigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!!

Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi (za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!

Tuwe wakweli!! Unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Wa siasa ale kwa siasa, wa shamba ale kwa shamba, wa daladala ale kwa daladala.
 
Pumbavu! Unadhani kila mtu ni wa kurogwa ovyo ovyo yani unaamka tu asubuhi unaenda kumroga mtu, kuna watu wana kinga za kaburi , ukiloga unakufa wewe na uzao wako wote pumbavu..unaanza uliyeloga wewe, anafata baba ako, mama ako, mkeo, na watoto, yani mnapukutika kama majani mamaeh..

[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza punguza jazba
Uchawi upo ila mimi siamini na sijawahi kuona wala kutokea kwangu wala kwenye familia kwani hatuna mda huo

Naona umetoa povu kama lote
Hao wanaoamini uchawi waroge sasa
Kwani hapo nimekosea wapi mpaka ujambe hivyo
Watu na chuki zao ndio nimesema waroge sasa wewe uko upande gani
 
Magufuli aliharibu mno watanzania kwa kuwaaminisha ujinga kuwa yeye hakuwa fisadi.

Katika marais waliofanya ufisadi mkubwa, JPM ndo ameshika namba moja, yeye ndiye anayeongoza list.

Huwezi kunielewa ila aliyekuwa CAG Professor Asad anathibitisha hili ktk ripot zake.
 
Back
Top Bottom