Yupi?Hajawai kuuza unga Yule hakua yeye ni ndugu yake mnamchafua kwa wivu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi?Hajawai kuuza unga Yule hakua yeye ni ndugu yake mnamchafua kwa wivu tu
Unajua maana ya wizi weweMbona ufisadi ulitaradad zaidi kwa JPM, alijenga kiwanja cha ndege kule chato hela katoa wp?
CCM ni Chukua Chako Mapema
Dalili ya mvua ni mawingu. Usishangae ukianza kusikia hadithi za watu kuhamishwa ili kupisha ujenzi wa miji ya kisasa kama ule mpango wa Kigamboni, mafisadi kumegewa mapande ya ardhi za vijiji kwa kisingizio cha uwekezaji.Upigaji kwa kwenda mbele!! mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! viwanja vya wazi pole yao!! Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi( za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!! Tuwe wakweli!! unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Kuna kiwanja cha wazi kisesa kulikuwa soko nasikia lz1 kabeba anajenga petro station, kina mama walokuwa wanatafta rizk wamefukuzwaUpigaji kwa kwenda mbele!! mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! viwanja vya wazi pole yao!! Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi( za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!! Tuwe wakweli!! unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Hayo ni mawazo yako,nakumbuka kulikuwaga na uzushi mitaani kwamba kila mali ni ya riz1.Upigaji kwa kwenda mbele!! mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! viwanja vya wazi pole yao!! Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi( za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!! Tuwe wakweli!! unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Sasa kuna shida gani? Kwani miji ya kisasa ina shida? Mbona tayari ubungo stand ya zamani inajengwa ishu kama hiyo?Dalili ya mvua ni mawingu. Usishangae ukianza kusikia hadithi za watu kuhamishwa ili kupisha ujenzi wa miji ya kisasa kama ule mpango wa Kigamboni, mafisadi kumegewa mapande ya ardhi za vijiji kwa kisingizio cha uwekezaji, malipo ya capacity charge ya mabilioni katika miradi ya umeme wa jua na upepo ya watu binafsi tena mikataba ya muda mrefu wakati stigler gorge ( Rufiji) ikitarajiwa kukamilika hivi punde. Ukwepaji kodi kushamiri , Zanzibar kujengwa kwa kuinyonya Tanganyika nk.
Imekula kwako Mzee,watu walikuwa wanauliza ilikuaje tuliaminishwa enzi za JK kuna ufisadi yet ajira zilikuwepo na Uchumi ulikua unasogea mbele?
Mitanzani mingine bwana. Sasa we unapata hasara au faida gani ikirudi? Au Ni wivu tu. Duniani kote viongozi wanastrugle investments ziongezeke vijana wengi wanaomaliza vyuo vikuu wapate ajira bila kujali uwekezaji huo upo je. Au ilikuwa unafurahi vijana kurundikana mtaani bila ajira yoyote serikalini au private sectorUpigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!...
Sasa mbona mnasema uchawi upo si muwaroge sasa [emoji23][emoji23]
Kujenga kiwanja cha ndege Tz ni ufisadi!!??Mbona ufisadi ulitaradad zaidi kwa JPM, alijenga kiwanja cha ndege kule chato hela katoa wp?
CCM ni Chukua Chako Mapema
Yani kuna comments za watu humu ukizisoma unaweza kujikuta unaona aibu wewe... Sijui wanatumia ubongo gani kufikiria.Kujenga kiwanja cha ndege Tz ni ufisadi!!??
watu wengine akili zao zipo chini ya buttock
Wewe ni mbumbumbu usiyelewa kitu zaidi ya kushabikia wizi. Mtanzania anayo haki ya kuishi katika ardhi yake, mtu anapoondolewa kutoka mahali anapoishi mfumo wake wa uchumi unavurugika na ni moja ya sababu ya umaskini. Pia uelewe kika mtu anahitaji kipato, kumnyang"anya mtu ardhi anayotumia kupata riziki halafu unataka mtu huyo awe manamba katika shamba la mwekezaji ni uonevu. Hiyo fidia kiduchu anayolipwa mtoto wake ataikuta? Inatosha kupata ardhi nyingine ya ukubwa na thamani kama hiyo aliyopoteza? Inatosha kumuwezesha kusettle?Tanzania haikuumbwa kwa ajili ya wawekezaji toka dunia nzima kuja kuwekeza hapa. Sasa hivi huko Africa kusini , ANC wanajadili kuwanyang'anya wazungu mashamba tena bila fidia ili wawagawie weusi unafikiri wao wajinga mpaka waangalie option hiyo? Zimbabwe walifanya hivyo. Halafu mkikaa mnashangaa machinga kuongezeka wakati sera mbovu za kunyang'anya watu ardhi ndizo zinachangia kuongezeka kwa biashara holela mabarabarani. Unapoondoa watu wengi kutoka mfumo wa uzalishaji maana yake watu hao wengi wao wataingia katika uchuuzi na sekta isiyo rasmi ikiwemo wizi, umalaya nk.Sasa kuna shida gani? Kwani miji ya kisasa ina shida? Mbona tayari ubungo stand ya zamani inajengwa ishu kama hiyo?
Mijitu mishamba na maskini wa akili na mali kama wewe mna shida sana.
Haingii akilini miradi ya mashirika yote ilikufa,miji ilikufa hakuna ukuaji na ushenzi kama huo lakini kiazi kama wewe eti unaona ni shida,stupid..
JK alihamisha watu na akawapa fidia na ardhi nyingine,sio yule mpuuzi alivunja nyumba za watu hakuna alichowafidia.
Kwanza sasa Nchi itarudi kwenye ligi za ukuaji wa uchumi kama awali,tulirudi nyuma Sana miaka 6 iliyopita chininya Dhalimu.
Unfortunately huyo Dhalimu hakuna hata kimoja alianzisha akamaliza ,kwanza alishatengwa na Dunia,akaishia kupora pesa lakini saizi pesa kama zote Uchumi unaleta pesa na Mikopo nafuu na ufadhili kama wote.
Majizi makubwa yamerudi kazini.Acha wivu na chuki,Huyo Riz1 alishawai haribu wapi?
Mwacheni aliyebahatika abahatike
Kwani ni lini CCM walikua hawapigi hela???Upigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!!
Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi( za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!!
Tuwe wakweli!! Unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Mpumbavu ni wewe mwenye akili finyu.Nchi inahitaji maendeleo na maendeleo ya Nchi sio tuu kwa ajili ya mtu mmja bali maslahi makubwa ya kizazi cha sasa na kijacho.Wewe ni mbumbumbu usiyelewa kitu zaidi ya kushabikia wizi. Mtanzania anayo haki ya kuishi katika ardhi yake, mtu anapoondolewa kutoka mahali anapoishi mfumo wake wa uchumi unavurugika na ni moja ya sababu ya umaskini. Pia uelewe kika mtu anahitaji kipato, kumnyang"anya mtu ardhi anayotumia kupata riziki halafu unataka mtu huyo awe manamba katika shamba la mwekezaji ni uonevu. Hiyo fidia kiduchu anayolipwa mtoto wake ataikuta? Inatosha kupata ardhi nyingine ya ukubwa na thamani kama hiyo aliyopoteza? Inatosha kumuwezesha kusettle?Tanzania haikuumbwa kwa ajili ya wawekezaji toka dunia nzima kuja kuwekeza hapa. Sasa hivi huko Africa kusini , ANC wanajadili kuwanyang'anya wazungu mashamba tena bila fidia ili wawagawie weusi unafikiri wao wajinga mpaka waangalie option hiyo? Zimbabwe walifanya hivyo. Halafu mkikaa mnashangaa machinga kuongezeka wakati sera mbovu za kunyang'anya watu ardhi ndizo zinachangia kuongezeka kwa biashara holela mabarabarani. Unapoondoa watu wengi kutoka mfumo wa uzalishaji maana yake watu hao wengi wao wataingia katika uchuuzi na sekta isiyo rasmi ikiwemo wizi, umalaya nk.
Kuna vijiji wakulima Hawana ardhi ya kulima baada ya ardhi yao kuchukuliwa je hao wapate wapi riziki zao?
Ukijenga hiyo unayoita miji ya kisasa hao maskini utawapa nyumba bure wakae humo? Hiyo ndio namna ya kuondoa maskini katika nchi? Umaskini unapunguzwa kwa mikakati robust ya kunyanyua hali za maskini kupitia program z9a kufanya shughuli zao ziwe na tija zaidi na siyo kuwafukuza.