KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Ngoja nikaiuhishe leseni ya mabasi.Kitaa kimechosha.Ratco bus amerudi tayari.
Dar Lux naye soon anamwaga mzigo.
[emoji1484]
Jamani acheni nchi ifunguliwe asee [emoji23] akija wa kwenu aje aifunge (wanasema)
Changamka mkuu Ratco a.k.a Kigogo na Dar Lux wanarudi kwa kishindo.Ngoja nikaiuhishe leseni ya mabasi.Kitaa kimechosha.
Aiseee nipo chapu kinomanoma.Changamka mkuu Ratco a.k.a Kigogo na Dar Lux wanarudi kwa kishindo.
Katafute shamba ulime acha longolongoUpigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!!
Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi (za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!
Tuwe wakweli!! Unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Namshangaa huyu anae komaa na riz1 kaa katumwa vileeeHivi huyu Riz aliwaibia nini? Au ndio ile chuki ya masikini kwa wenye nacho!!
Alisha mwibia nani??? Leteni ushahidiAbahatike kuendelea kuiba au ?
Ulitaka kijengwe kwenyu?Mbona ufisadi ulitaradad zaidi kwa JPM, alijenga kiwanja cha ndege kule chato hela katoa wp?
CCM ni Chukua Chako Mapema
Riziwani alishamuibia nani? Mbona mnamchukia bila sababu?Upigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!!
Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi (za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!
Tuwe wakweli!! Unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Wa siasa ale kwa siasa, wa shamba ale kwa shamba, wa daladala ale kwa daladala.Upigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!!
Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi (za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!
Tuwe wakweli!! Unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Pumbavu! Unadhani kila mtu ni wa kurogwa ovyo ovyo yani unaamka tu asubuhi unaenda kumroga mtu, kuna watu wana kinga za kaburi , ukiloga unakufa wewe na uzao wako wote pumbavu..unaanza uliyeloga wewe, anafata baba ako, mama ako, mkeo, na watoto, yani mnapukutika kama majani mamaeh..
Acha wivu na chuki,Huyo Riziwani alishawai haribu wapi?
Mwacheni aliyebahatika abahatike
Muuza ngada maarufu