Kwa mwendo huu wa Zuchu, kweli ni haki H-Baba kulalamika na kusema vile kuhusu Nandy

Bongo fleva have only only Queen, Lady Jay Dee
 
Ngoja apate bwanake tutaona kama ataendelea kuwa mkali kama alivyo sasa hivi
 
Utakuta kuna wanaume pia wanawivu juu ya mafanikio ya muziki wa Zuchu, miziki yake iko unique sana ndo maana kashika masikio ya watu ndani ya muda mfupi....
 
Kwa Mwaka huu uiktoa Nyimbo hizi Ex Boyfrend,Vumilia,Mama la mama na Teamo anazoimba zingine zote utopolo ameanza kupoteza ladha ya mziki mzuri.
rayvanny kafanyeje...? unazania kunamsanii wa kike anaweza kushindana na zuchu/WCB akawin yaani nandy akijaribu tu kushindana na zuchu tunamzika mazima Kama alivyomfanyia Ruby wa watu.
 
Mtu mmoja ila rangi tofauti hongera boss kwa kua kinyonga...msalimie Zuchu hapo usafini.
Ni watu wawili tofauti uoni hata uandishi wangu na wake Ni tofauti au kinachokufanya useme hivyo Ni Hilo neno Independent kufanana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…