sasa kwani ujui maana ya singeli, na je nyimbo mbaya unaipimaje wakati zinafanya vizuri in and out...?Miss Buza hiyo moja,Amaboko
Tanzania na Afrika Mashariki msanii wa kike no ZUCHU, huyo Saida kalori na wengine ni takataka na uchafu square[emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania msanii Bora wa kike ni saida kalori hao wengine ni takataka
Nini maana ya juhudi.Definitely Zuchu ndio ataenda kushika ushukani na atakuwa threat hata kwa Wasanii wakiume cos anajuhudi na Kasi hii akiendelea nayo atazidi kuwa mkubwa Sana.All in all ngoma yake ya nobody aliyotoa leo Ni bonge la ngoma naona nae ameanza kuimba kizungu
pumbavu mkubwa, utopolo angekuwa Grammy, afrimma, aeusa, Nigeria awards, na ujue hata kunya tu ni juhudi that's why ukienda kunya unakamia show, so Kama kuimba kaimbe shenziNini maana ya juhudi.
Hivi kumbe hata kuimba utopolo pia huwa kuna juhudi?
Mimi nimeuliza tu wewe unatukana.pumbavu mkubwa, utopolo angekuwa Grammy, afrimma, aeusa, Nigeria awards, na ujue hata kunya tu ni juhudi that's why ukienda kunya unakamia show, so Kama kuimba kaimbe shenzi
hakuna kuuliza wewe kama nani...?na Kama hauko WCB sepa sawa, hizo ndo nyimbo tunazozipenda WCB fans wa tz na duniani so wewe Kama sio WCB fans tuachie label yetu na nyimbo zetu.Mimi nimeuliza tu wewe unatukana.
Maana kila nikicheki nyimbo zote za wasafi nasikia tu "inama inama babalao babalao samahani samahani nisamehe nisamehe" nabaki tu kujiuliza huu ndio utunzi wa siku hizi unaotoa tunzo au kuna kitu kingine nyuma ya pazia?
Mimi sina ushabiki wa kundi lolote ila nimefikiria tu nikauliza
hakuna kuuliza wewe kama nani...?na Kama hauko WCB sepa sawa, hizo ndo nyimbo tunazozipenda WCB fans wa tz na duniani so wewe Kama sio WCB fans tuachie label yetu na nyimbo zetu.
nimesema WCB fans na sio watu wote, na ndio maana haujaona fans wa WCB wanaziponda sawa dogo.usiseme watu wote wanazipenda sema wewe unazipenda kwa sababu una akili utopolo na huna uwezo wa kuchuja nyimbo nzuri ikoje,utunzi mzuri ukoje.
Kwa anayejua nyimbo nzuri hawezi kushobokea jina kama wewe ufanyavyo.
Ni kwa vile hamjui maana ya mziki mzuri mdogo wangu.umeelewa mdogo wangu.nimesema WCB fans na sio watu wote, na ndio maana haujaona fans wa WCB wanaziponda sawa dogo.
Me nazani wewe utakuwa aged kidogo hizo Aina za nyimbo unazozitaka wewe sio rafiki kwa kizazi hiki na wasanii wanatoa ngoma kwa kuangalia mashabiki wanataka Nini ndio maana ngoma Kama gusanisha ya Gnako inakuwa hitsong ingekuwa kipindi chenu isinge hitNi kwa vile hamjui maana ya mziki mzuri mdogo wangu.umeelewa mdogo wangu.
Mziki sio kutumia minguvu mingi ni kipaji na akili.
Tanzania na Afrika Mashariki msanii wa kike no ZUCHU, huyo Saida kalori na wengine ni takataka na uchafu square[emoji23][emoji23][emoji23]
Saida kalori Ni mama mwenye heshima na legendary wetu huyo jamaa kamkosea heshimaHivi huwa unalipwa ???....
Ukikosa busara bhasi weka heshima kwa watu waliomtangulia na kama ukishindwa hata hilo bhasi kuwa na adabu kwa watu wenye umri sawa au zaidi ya mama yako kama Saida..
Weka mipaka kwenye drama na ushabiki wenu wa kipuuzi
Kale kamekalia kutiana tu ndi maana hata pumzi hamna pale jukwaani.Zuchu lebo inambeba ila Nandy nyimbo zake hit songs kweli kweli .
Zuchu yuko vizuri zaidi live performance ila nandy live ni aibu hata sauti ni shida
Me nazani wewe utakuwa aged kidogo hizo Aina za nyimbo unazozitaka wewe sio rafiki kwa kizazi hiki na wasanii wanatoa ngoma kwa kuangalia mashabiki wanataka Nini ndio maana ngoma Kama gusanisha ya Gnako inakuwa hitsong ingekuwa kipindi chenu isinge hit
Dalili ya mvua ni mawingu mkuu huoni hats hili?Kwani Kigoma independent na wewe ni ndugu au Ntu(mtu) mmoja?