kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeiiga kutoka PW. Nyie vichwa vyenu havina kitu ndani, no vya kubebea tu mizigoNdio maana nyie Wachovu mmeanzishiwa Huduma ya Kibubu!
Ingia kwenye Huduma ya kibubu bwashee!Mmeiiga kutoka PW. Nyie vichwa vyenu havina kitu ndani, no vya kubebea tu mizigo
Hahahaaaa...........!Sio package yangu mzee. Hiyo mibundi yenu sipandi, mi nakula ATR za Mchagga PW a.k.a Swala
Hah haaaaHahahaaaa...........!
Hii ndiyo ilipaswa kuwa mada, na tittle ingebadilika na kusimeka IGP KUTUMIA NDEGE YA KIBIASHARA KWA ZIARA ISIYO YA KIBIASHARAHakuwa na sababu na IGP kutumia ndege ya biashara kwa Safari zake za kikazi, angetumia helikopta ya polisi ingekuwa vyema zaidi.
ATCL ikiendelea na utaratibu huu wa kuwa chombo Cha starehe kwa watu fulanifulani, itarudi kaburini mapema mno.
Kuwa na fleet nyingi sio mafanikio, mafanikio ni kuwa na fleet zenye kuwahudumia watu wengi zaidi ndio maana ndege za PW zinajaza wakati ATCL ndege zao zinaenda mswaki.
PW hawategemei ruzuku, wapo angani kila siku, wanafanya biashara seriously, huwezi walinganisha na ATCL.
Sawa. Kesho tutaanzisha uzi mpyaaaaaaa, au sio kaka ?Hii ndiyo ilipaswa kuwa mada, na tittle ingebadilika na kusimeka IGP KUTUMIA NDEGE YA KIBIASHARA KWA ZIARA ISIYO YA KIBIASHARA
Si angepanda Rwanda air tuu kwani tatizo lipo wapi hawa jamaa ni kiboko kwa kutengeneza hasara zisizo na lazima.Kwa hiyo ni sawa kuunguza mamilioni kupeleka ndege ya biashara Rwanda? Kwa nini asipande ndege ya biashara mpaka Kigoma halafu from there akatumia helicopter?
Tuipe mwaka utakuta ndege zote zimepakiView attachment 1933396
Kusudio la kuanzishwa, kufunguliwa na kuhuishwa kwa shirika mama la usafiri wa anga la nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa lijiendeshe kibiashara, lipate faida na liweze kujisimamia na kujihudumia lenyewe bila kuwa mzigo kwa serikali.
Shirika la ATCL limekuwa na flight cancellation za mara kwa mara zisizo na kichwa wala miguu, yote hayo ni sababu ndege ziko busy kufanya Safari zisizo za kibiashara.
Leo utasikia kuna uhaba wa ndege, ndege zote zimeenda service, lakini ukifiatilia itakuwa ziko kwenye ziara za kuwazungusha walao neema za nchi na kuku ya Taifa wao na familia zao.
Hakuwa na sababu na IGP kutumia ndege ya biashara kwa Safari zake za kikazi, angetumia helikopta ya polisi ingekuwa vyema zaidi.
ATCL ikiendelea na utaratibu huu wa kuwa chombo Cha starehe kwa watu fulanifulani, itarudi kaburini mapema mno.
Kuwa na fleet nyingi sio mafanikio, mafanikio ni kuwa na fleet zenye kuwahudumia watu wengi zaidi ndio maana ndege za PW zinajaza wakati ATCL ndege zao zinaenda mswaki.
PW hawategemei ruzuku, wapo angani kila siku, wanafanya biashara seriously, huwezi walinganisha na ATCL.
MSIPOBADILIKA, NECHA ITAWAONDOENI SOKONI
Vichwa vyao vina manjota inside ili vikibeba mizigo inesenese.Si angepanda Rwanda air tuu kwani tatizo lipo wapi hawa jamaa ni kiboko kwa kutengeneza hasara zisizo na lazima.
Yanenikuta mzee mwenzagu..... Sugu na wake wasela wanTMKJuzi nilikua na ndege ya kuja dar jioni nashangaa ndege imerudishwa saa 7 mchana. Kisa ikuje nyingine kumbeba hangaya aende idodoma
AIJIPII KAENDA NA PIPA LA SERIKALE NCHI JIRANI?I
Mbona tunaona faida yake mkuu? Si unaona leo kajifunza namna ya kupita nyumba za ibada kujua mafundisho tunayopata?View attachment 1933396
Kusudio la kuanzishwa, kufunguliwa na kuhuishwa kwa shirika mama la usafiri wa anga la nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa lijiendeshe kibiashara, lipate faida na liweze kujisimamia na kujihudumia lenyewe bila kuwa mzigo kwa serikali.
Shirika la ATCL limekuwa na flight cancellation za mara kwa mara zisizo na kichwa wala miguu, yote hayo ni sababu ndege ziko busy kufanya Safari zisizo za kibiashara.
Leo utasikia kuna uhaba wa ndege, ndege zote zimeenda service, lakini ukifiatilia itakuwa ziko kwenye ziara za kuwazungusha walao neema za nchi na kuku ya Taifa wao na familia zao.
Hakuwa na sababu na IGP kutumia ndege ya biashara kwa Safari zake za kikazi, angetumia helikopta ya polisi ingekuwa vyema zaidi.
ATCL ikiendelea na utaratibu huu wa kuwa chombo Cha starehe kwa watu fulanifulani, itarudi kaburini mapema mno.
Kuwa na fleet nyingi sio mafanikio, mafanikio ni kuwa na fleet zenye kuwahudumia watu wengi zaidi ndio maana ndege za PW zinajaza wakati ATCL ndege zao zinaenda mswaki.
PW hawategemei ruzuku, wapo angani kila siku, wanafanya biashara seriously, huwezi walinganisha na ATCL.
MSIPOBADILIKA, NECHA ITAWAONDOENI SOKONI
What is the Monetary profit of that trip?Mbona tunaona faida yake mkuu? Si unaona leo kajifunza namna ya kupita nyumba za ibada kujua mafundisho tunayopata?
WanatukomoaSi angepanda Rwanda air tuu kwani tatizo lipo wapi hawa jamaa ni kiboko kwa kutengeneza hasara zisizo na lazima.