Kwa mwenendo huu wa kibiashara, shirika la ATCL litakufa kibudu siku si nyingi

Kwa mwenendo huu wa kibiashara, shirika la ATCL litakufa kibudu siku si nyingi

View attachment 1933396
Kusudio la kuanzishwa, kufunguliwa na kuhuishwa kwa shirika mama la usafiri wa anga la nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa lijiendeshe kibiashara, lipate faida na liweze kujisimamia na kujihudumia lenyewe bila kuwa mzigo kwa serikali.

Shirika la ATCL limekuwa na flight cancellation za mara kwa mara zisizo na kichwa wala miguu, yote hayo ni sababu ndege ziko busy kufanya Safari zisizo za kibiashara.

Leo utasikia kuna uhaba wa ndege, ndege zote zimeenda service, lakini ukifiatilia itakuwa ziko kwenye ziara za kuwazungusha walao neema za nchi na kuku ya Taifa wao na familia zao.

Hakuwa na sababu na IGP kutumia ndege ya biashara kwa Safari zake za kikazi, angetumia helikopta ya polisi ingekuwa vyema zaidi.

ATCL ikiendelea na utaratibu huu wa kuwa chombo Cha starehe kwa watu fulanifulani, itarudi kaburini mapema mno.

Kuwa na fleet nyingi sio mafanikio, mafanikio ni kuwa na fleet zenye kuwahudumia watu wengi zaidi ndio maana ndege za PW zinajaza wakati ATCL ndege zao zinaenda mswaki.

PW hawategemei ruzuku, wapo angani kila siku, wanafanya biashara seriously, huwezi walinganisha na ATCL.

MSIPOBADILIKA, NECHA ITAWAONDOENI SOKONI
Yani meshidwa kuona kuwa hiyo sio air Tanzania yani ni habari ya uongo kweli aliye SEMA nyumbu hakukosea
 
Kazi ya mwenge ni kuharibu fahamu za watanzania tu wala hakuna lingine
Ndio maana Magufuli alijaribu kustopisha Kili aina ya utopolo lakini mwenge hakusubutu kuugusa wanajua ndio unawaweka madarakani
 
What is the Monetary profit of that trip?
watu wataishi kwa amani, wafia dini watapungua, pia wazazi wataacha kutuzalia watu kama Hamza na hivyo watu wataweza kuzalisha, tunanunua ndege zaidi za wao kwenda kujifunza mengine kama alivyofanya sasa.

Hapo vipi?
 
Kila sekta kosa likifanyika, anaewajibika awajibishwe bila kuangalia ni nani, wakati wa"unajua mimi ni nani umekwisha" swala ni kuwajibika na maendeleo yatapatikana. Shirika likifa ni aibu, anaetaka kutuaibisha, aondolewe kwa aibu.
 
Badilisha kauli yako iwe fedha
 
Yani meshidwa kuona kuwa hiyo sio air Tanzania yani ni habari ya uongo kweli aliye SEMA nyumbu hakukosea
Umeiona picha? Au ndio
... ATCL wanazo ndege nyingi. Kama hiyo moja haikuwa na route kulikuwa na ubaya gani kumpeleka msimamizi wa usalama wa raia na mali zao mh. aijiipii ziarani hapo nchi jirani? Naona sawa tu mali za nchi hazikuwahi kuwa na mwenyewe; wanajitumbulia wenye nafasi zao.
Hizo cancellations zisizo na kichwa wala miguu zinatokana na nini? Je wateja wa ATCL wanaridhika na kiwango Cha hudum wanachokipata against their money?
 
Kila sekta kosa likifanyika, anaewajibika awajibishwe bila kuangalia ni nani, wakati wa"unajua mimi ni nani umekwisha" swala ni kuwajibika na maendeleo yatapatikana. Shirika likifa ni aibu, anaetaka kutuaibisha, aondolewe kwa aibu.
CCM ni janga la Taifa.
 
Umeiona picha? Au ndio

Hizo cancellations zisizo na kichwa wala miguu zinatokana na nini? Je wateja wa ATCL wanaridhika na kiwango Cha hudum wanachokipata against their money?
Kwani hiyo logo kwenye ndege hiyo katika picha ni air Tanzania
 
Chama Cha Mazezeta katika ubora wao.
Mbona Bei zenu ni za juu Sana kuliko Fastjet?

Mngekuwa mnatoa huduma Bei zenu zingekuwa zinamudiwa na wananchi wa chini.

Mtu wa kipato Cha chini ya USD 1 kwa siku anawezaje kulipa nauli ya USD 150 kwenda Mwanza?

Au wananchi fukara hawastahili huduma zenu?

Ndio maana tunasema wakulima na wafanyakazi wameporwa chama chao
Hawajali kama utapanda au la. Ndege zipo pale kutoa “political statement”. Shirika haliko kibiashara - litaendeshwa kwa tozo hadi kiama.
 
Hii ndiyo ilipaswa kuwa mada, na tittle ingebadilika na kusimeka IGP KUTUMIA NDEGE YA KIBIASHARA KWA ZIARA ISIYO YA KIBIASHARA
Haitakuwa sawa. Kumbuka, hizo ni ndege za Serikali (TGFA), sio za ATCL. Sio za kibiashara hadi zikodiwe na shirika kibiashara. Zina rangi za ATCL kimkakati/kisiasa.

Mabosi wa serikali wanazitumia kwa kadiri wanavyojisikia kwa kuelewana. Hakuna wa kuwahoji.
 
Hawajali kama utapanda au la. Ndege zipo pale kutoa “political statement”. Shirika haliko kibiashara - litaendeshwa kwa tozo hadi kiama.
Inahuzunisha Sana, ndio maana majirani wanatuona sisi ni wavivu kiasi kwamba hata jina Tanzania tulitungiwa na mhindi
 
AIJIPII KAENDA NA PIPA LA SERIKALE NCHI JIRANI?
... Hakika Inashangaza!! Labda kama awe yeye na Kundi lake wamelipia Nauli
..
Lakini kama yeye na msafara wake wa watu wasiozidi 20 wamechukua ndege yetu yenye uwezo wa kubeba Abiria Mia Moja na...kwenda nayo kufanya Ziara ya Kikazi Nchi Jirani...? Tumekwisha!!!
Mama itabidi aupige mwingi na kuwa Mkali sana...!!![emoji45][emoji45][emoji45]
 
Kwa hiyo ni sawa kuunguza mamilioni kupeleka ndege ya biashara Rwanda? Kwa nini asipande ndege ya biashara mpaka Kigoma halafu from there akatumia helicopter?
Helkopter ya nini,si mav8,6 magari ya polisi au atumie magari ya washawasha.Ameanza lini,mbona kipindi cha ...................... alikuwa hazitumii.Wanatutafutia kuongeza bei ya mafuta,
 
Back
Top Bottom