Kwa mwenendo huu wa kibiashara, shirika la ATCL litakufa kibudu siku si nyingi

Hii ndiyo ilipaswa kuwa mada, na tittle ingebadilika na kusimeka IGP KUTUMIA NDEGE YA KIBIASHARA KWA ZIARA ISIYO YA KIBIASHARA
 
Naona kambale wamekuwa wengi sana hapo juu, tukisema yaje mabadiliko ya katiba kunusuru hii nchi makuwadi ya mafisadi yanaleta mapovu.....naanza kuelewa kwa nini magu aliongoza nchi kwa style ile, nchi ngumu hii...
 
Mali ya serikali siku zote hufujwa na hao tuliyowapa madaraka...
 
Tuipe mwaka utakuta ndege zote zimepaki
 
AIJIPII KAENDA NA PIPA LA SERIKALE NCHI JIRANI?I


Mbona tunaona faida yake mkuu? Si unaona leo kajifunza namna ya kupita nyumba za ibada kujua mafundisho tunayopata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…