Kwa mwenendo huu wa kibiashara, shirika la ATCL litakufa kibudu siku si nyingi

Yani meshidwa kuona kuwa hiyo sio air Tanzania yani ni habari ya uongo kweli aliye SEMA nyumbu hakukosea
 
Kazi ya mwenge ni kuharibu fahamu za watanzania tu wala hakuna lingine
Ndio maana Magufuli alijaribu kustopisha Kili aina ya utopolo lakini mwenge hakusubutu kuugusa wanajua ndio unawaweka madarakani
 
What is the Monetary profit of that trip?
watu wataishi kwa amani, wafia dini watapungua, pia wazazi wataacha kutuzalia watu kama Hamza na hivyo watu wataweza kuzalisha, tunanunua ndege zaidi za wao kwenda kujifunza mengine kama alivyofanya sasa.

Hapo vipi?
 
Kila sekta kosa likifanyika, anaewajibika awajibishwe bila kuangalia ni nani, wakati wa"unajua mimi ni nani umekwisha" swala ni kuwajibika na maendeleo yatapatikana. Shirika likifa ni aibu, anaetaka kutuaibisha, aondolewe kwa aibu.
 
Badilisha kauli yako iwe fedha
 
Yani meshidwa kuona kuwa hiyo sio air Tanzania yani ni habari ya uongo kweli aliye SEMA nyumbu hakukosea
Umeiona picha? Au ndio
Hizo cancellations zisizo na kichwa wala miguu zinatokana na nini? Je wateja wa ATCL wanaridhika na kiwango Cha hudum wanachokipata against their money?
 
Kila sekta kosa likifanyika, anaewajibika awajibishwe bila kuangalia ni nani, wakati wa"unajua mimi ni nani umekwisha" swala ni kuwajibika na maendeleo yatapatikana. Shirika likifa ni aibu, anaetaka kutuaibisha, aondolewe kwa aibu.
CCM ni janga la Taifa.
 
Umeiona picha? Au ndio

Hizo cancellations zisizo na kichwa wala miguu zinatokana na nini? Je wateja wa ATCL wanaridhika na kiwango Cha hudum wanachokipata against their money?
Kwani hiyo logo kwenye ndege hiyo katika picha ni air Tanzania
 
Hawajali kama utapanda au la. Ndege zipo pale kutoa “political statement”. Shirika haliko kibiashara - litaendeshwa kwa tozo hadi kiama.
 
Hii ndiyo ilipaswa kuwa mada, na tittle ingebadilika na kusimeka IGP KUTUMIA NDEGE YA KIBIASHARA KWA ZIARA ISIYO YA KIBIASHARA
Haitakuwa sawa. Kumbuka, hizo ni ndege za Serikali (TGFA), sio za ATCL. Sio za kibiashara hadi zikodiwe na shirika kibiashara. Zina rangi za ATCL kimkakati/kisiasa.

Mabosi wa serikali wanazitumia kwa kadiri wanavyojisikia kwa kuelewana. Hakuna wa kuwahoji.
 
Hawajali kama utapanda au la. Ndege zipo pale kutoa “political statement”. Shirika haliko kibiashara - litaendeshwa kwa tozo hadi kiama.
Inahuzunisha Sana, ndio maana majirani wanatuona sisi ni wavivu kiasi kwamba hata jina Tanzania tulitungiwa na mhindi
 
AIJIPII KAENDA NA PIPA LA SERIKALE NCHI JIRANI?
... Hakika Inashangaza!! Labda kama awe yeye na Kundi lake wamelipia Nauli
..
Lakini kama yeye na msafara wake wa watu wasiozidi 20 wamechukua ndege yetu yenye uwezo wa kubeba Abiria Mia Moja na...kwenda nayo kufanya Ziara ya Kikazi Nchi Jirani...? Tumekwisha!!!
Mama itabidi aupige mwingi na kuwa Mkali sana...!!![emoji45][emoji45][emoji45]
 
Kwa hiyo ni sawa kuunguza mamilioni kupeleka ndege ya biashara Rwanda? Kwa nini asipande ndege ya biashara mpaka Kigoma halafu from there akatumia helicopter?
Helkopter ya nini,si mav8,6 magari ya polisi au atumie magari ya washawasha.Ameanza lini,mbona kipindi cha ...................... alikuwa hazitumii.Wanatutafutia kuongeza bei ya mafuta,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…