ngulyabhule
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 344
- 712
Wakuu msada kwa anaeye fahamu kinacho endelea juu ya ujenzi wa njia nne jijini mbeya. Mwaka jana nilishuhudia kero ya vumbi na baadaye matope!
Kisa ni enzi huu sasa jana narudi Mbeya mjini hali ni ile ile! mwaka jana walau wajenzi walikuwa kazini maeneo mengi kuanzia Uyole hadi Mwanjelwa na vifaa vingi mnoo kiasi ambacho nilitegemea mradi huu ungekamilika mapema mno!
Sasa jana nimeshangaa kukuta hali ni ile ile na mbaya zaidi sikuweza kuona mjenzi wala kifaa chochote cha ujenzi wala hukuna dalili za kuonesha ujenzi endelevu! Sasa kwa adha niliyo iona na kuipata je nini hatima yake ?!