Kwa mwenye kufahamu kinacho endelea ujenzi wa barabara jijini Mbeya

Hiyo barabara ya njia 4 anayetoa hela sio serikali ya Tanzania. Ni SADC
Acha ujinga wako, anayetoa pesa ni GoT na mkandarasi ni CHICO, wana bahati Chico ni wastaarabu sana ingekua Sinohydro au CR15 kungekua hivyo hivyo. Serikali ya CCM haijamlipa mkandarasi muda mrefu ila Chico alikua a anatumia resources zake mwenyewe. Na hapa ndio wachina wanapotupiga. Naenda kuona mgonjwa mara moja, ukitaka ujue namna tunavyopigwa just mention me inshaAllah nikitulia nieleze
 
Huyo hata me nimemshangaa alipo kuja na hoja yake ya upotoshaji! Pole kwa kuuguza mkuu!
 
Mkuu tuonee huruma
Mlipaswa kujionea huruma wenyewe wakati wa kumpitisha huyo kidudumtu Tulia kuwa mgombea wa CCM. Maana akiwapa bahasha za rambirambi ya msiba, na kuwaletea mashindano ya ngoma na marathon uchwara mnaridhika
 
Nadhani huzijui siasa za mbeya tangu mwaka 1995 mpaka sasa alipo pitishwa sugu unakumbuka JPM alisema nini juu ya mbeya?!
 
Hawajampitisha, hakuna uchaguzi ndani ya CCM au Taifa tangu mwaka 2019, wenyekiti wa mitaa, madiwani, wabunge wote na rais kwa sasa wanajipachika wenyewe tu kwa msaada wa kakikundi kadogo cha dola.
 
Ujenzi unaendelea....
20260116_163631.jpg
20260116_163634.jpg
20260116_163634.jpg
 
Hii barabara 2030 watakuja tena kuwaambia wananchi wakipewa ridhaa ya kuwaongoza wataimaliza, hii barabara chama kile Mfu kishaona ndio mtaji wake wa kisiasa
 
Kuna pahala sijui hamuelewi ama mmejitoa ufahamu au nyie si watanzania! Kwa hiyo asililimia 98 alizo tangwazwa nazo zilitoka mbeya pekee?!
 
Acha ujinga wako, anayetoa pesa ni GoT na mkandarasi ni CHICO, wana bahati Chico ni wastaarabu sana ingekua Sinohydro au CR15 kungekua hivyo hivyo. Serikali ya CCM haijamlipa mkandarasi muda mrefu ila Chico alikua a anatumia resources zake mwenyewe. Na hapa ndio wachina wanapotupiga. Naenda kuona mgonjwa mara moja, ukitaka ujue namna tunavyopigwa just mention me inshaAllah nikitulia nieleze
SADC ndo mwenye mradi acha wizi
 
Kwa upeo wako huo mradi kwa muda walio utumia na uhalisia wa kazi

Acha kuleta uongo wako hapa SADC ipi?! Na unaposema mvua mwaka jana hakukuwa na mvua mbona kazi zilikuwa zinapigwa?! Kwa usiyejua mradi unafadhiliwa na serikali 100% kupitia kampuni ya China Henan International Cooperation Group Company Ltd. CHICO na mara ya mwisho Msimamizi wa mradi Mhandisi wa TANROAD Bwana Masige alidai mradi una kasi ndogo kwa sababu ya kuhamisha miundombinu ya nyaya za mawasiliano chini ya ardhi pamoja na miundo mbinu ya maji taka jambo ambalo kwa sasa halifanyiki! Wewe unaye tuambia mvua kubwa na msimamizi wa mradi nani asikilizwe?!
Serikali ipi jnayofadhiri huo mradi? Acheni kudanganya wananchi. SADC ndo wanafadhiri huo mradi
 
Nadhani huzijui siasa za mbeya tangu mwaka 1995 mpaka sasa alipo pitishwa sugu unakumbuka JPM alisema nini juu ya mbeya?!
Kwanini nisizijuwe siasa za Mbeya wakati mimi mwenyewe ni sehemu ya siasa za Mbeya
 
Iweje sasa useme kumpitisha Tulia ndo tatizo ilhali mfumo wa huu upuuzi ma kwa nchi yoote?
 
Hawajampitisha, hakuna uchaguzi ndani ya CCM au Taifa tangu mwaka 2019, wenyekiti wa mitaa, madiwani, wabunge wote na rais kwa sasa wanajipachika wenyewe tu kwa msaada wa kakikundi kadogo cha dola.
Hata kama wanajipachika wenyewe lazima lawama ziende kwa hako kakikundi maana kulikuwa wagombea webgine wa CCM bora kuliko yeye
 
We jamaa bwana hivi unaijua ccm na mambo yake?! Hujajifunza jambo kwa mpina?! Ester Bulaya je?! Wakiamua jambo wenye chama mtu wa chini ana ubavu wowote?!
 
Back
Top Bottom