ngulyabhule
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 344
- 712
Kwa nilicho kiona jana hata hiyo 2040 ni mapema mnoo mkuu!Hee kumbe bado. Watamaliza 2040.
Labda hapo mama john sasa ilomba hapo ndo kungekuwa shida zaidi ya miezi 10?!Minaona Kwasasa wanadili zaidi na kujenga madaraja
Hiyo barabara ya njia 4 anayetoa hela sio serikali ya Tanzania. Ni SADCNipo mbeya saiz napita kwnye barabara mbovu hamna hata dalili ya mkandarasi kuwepo. Au ilikua ni michongo ya kampeni za oktoba tunatiki. Baada ya hapo mkandarasi kafungasha vilago?
Matapeli ChoiceVariable na StuxnetNipo mbeya saiz napita kwnye barabara mbovu hamna hata dalili ya mkandarasi kuwepo. Au ilikua ni michongo ya kampeni za oktoba tunatiki. Baada ya hapo mkandarasi kafungasha vilago?
Kwa upeo wako huo mradi kwa muda walio utumia na uhalisia wa kaziWamesimama kupisha mvua kubwa. Vifusi wanachimba kwetu huku
Hiyo barabara ya njia 4 anayetoa hela sio serikali ya Tanzania. Ni S
Acha kuleta uongo wako hapa SADC ipi?! Na unaposema mvua mwaka jana hakukuwa na mvua mbona kazi zilikuwa zinapigwa?! Kwa usiyejua mradi unafadhiliwa na serikali 100% kupitia kampuni ya China Henan International Cooperation Group Company Ltd. CHICO na mara ya mwisho Msimamizi wa mradi Mhandisi wa TANROAD Bwana Masige alidai mradi una kasi ndogo kwa sababu ya kuhamisha miundombinu ya nyaya za mawasiliano chini ya ardhi pamoja na miundo mbinu ya maji taka jambo ambalo kwa sasa halifanyiki! Wewe unaye tuambia mvua kubwa na msimamizi wa mradi nani asikilizwe?!Hiyo barabara ya njia 4 anayetoa hela sio serikali ya Tanzania. Ni SADC
Pole sana mkuu kwa nilicho kiona hapo mama john kuna siku gari zitaweza tumbukia kwenye mtoNipo mbeya saiz napita kwnye barabara mbovu hamna hata dalili ya mkandarasi kuwepo. Au ilikua ni michongo ya kampeni za oktoba tunatiki. Baada ya hapo mkandarasi kafungasha vilago?
Naunga mkono hoja maaana kwingineko huko tunasikia mkandarasi amepewa muda au kawekwa ndani kwa kuchelewesha mradi ila hapa mbeya kimyaa na wananchi wanazidi pata adha! Yaani katikati ya jiji unapigwa vumbi zaidi ya lile la mbulu!Hii nchi Pesa za miradi huwa hazikosekani Dar/Dodoma kwingine mtajijua tu
Mbeya na Vumbi ni dam dam Inasikitisha sana
pesa ziko wapi wakati wahisani wamekunja mikono?Wakuu msada kwa anaeye fahamu kinacho endelea juu ya ujenzi wa njia nne jijini mbeya. Mwaka jana nilishuhudia kero ya vumbi na baadaye matope!
Kisa ni enzi huu sasa jana narudi Mbeya mjini hali ni ile ile! mwaka jana walau wajenzi walikuwa kazini maeneo mengi kuanzia Uyole hadi Mwanjelwa na vifaa vingi mnoo kiasi ambacho nilitegemea mradi huu ungekamilika mapema mno!
Sasa jana nimeshangaa kukuta hali ni ile ile na mbaya zaidi sikuweza kuona mjenzi wala kifaa chochote cha ujenzi wala hukuna dalili za kuonesha ujenzi endelevu! Sasa kwa adha niliyo iona na kuipata je nini hatima yake ?!
Aisee!pesa ziko wapi wakati wahisani wamekunja mikono?