Kwa mwenye kufahamu kinacho endelea ujenzi wa barabara jijini Mbeya

Kule bado ni Ngome ya Chadema!
Labda tumuulize Dk.Tulia!
 
Itakuwa hela imekata maana nimepita jana hakuna kinachoendelea zaidi ya mafoleni tu sababu ya manjia ya michepuko na wahisani ndo wamekula kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…