Kwa mwenye ratiba ya kuoa nipo hapa pia nina ratiba ya kuolewa

Umeshagusa hizo rangi ngapi mpaka sasa tuanzie hapo siyo unakutana na mtu kumbe anamiliki halmashauri nzima
 
Mtu kama upo serious una weka na picha kabisa kupunguza idadi za pm.
 
Uko mkoa gani mkuu?
Kila mtu akija humu anataka maji ya kunde sisi weusi ndo kusema mmetutupilia mbali au...............
 
Sifa zote ninazo tatizo tu Mimi mweusi tiiii!!!!!
 
Kabla ya kuja PM sifa moja kuu tunayoifia wanaume na kuisaka kwa udi na uvumba ipo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…