gazeti gan? Hilo
mkuu taarifa zako zina mashiko na nazielewa ila ningependa kujua "source" na kama nawe unahusika so mbaya ukaendelea kutu-updates yanayojiri hadi nukta ya mwisho.
ss ndugu km mwezi wa tano na kwa wale watakaotaka kuri-sit si watakua na mda mdogo wa maandalizi sidhan km yatafika huko.Mwezi wa tano
Na mwaka huu inasemekana,,mmegonga zero mpaka yaaaaaani,baaaaaaaaaasi,
Habari za muda huu wakuu.Ningependa kujuzwa matokeo ya kidato cha nne 2013-2014 yanatoka lini kwa anaejua si vibaya akanijuza.