Kwa mwenye tetesi kuhusu matokeo kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anijuze.

Kwa mwenye tetesi kuhusu matokeo kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anijuze.

Status
Not open for further replies.
Mnapoteza muda kujadil kuhusu habar ya matokeo yenu had mwez april ndo yanaweza kutoka
 
Matokeo yashapelekwa ktk mitandao na vyombo vya habari anasubiriwa waziri wa elimu atangaze ndo yawekwe hewani, kwahiyo zoezi la waziri kutangaza ni kesho tarehe 17/feb kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 8 mchana itakuwa limekamilika
 
mkuu taarifa zako zina mashiko na nazielewa ila ningependa kujua "source" na kama nawe unahusika so mbaya ukaendelea kutu-updates yanayojiri hadi nukta ya mwisho.

.
Kwani source mana yake ni nn
.
Kama ni chanzo basi waambie wenzio source ni mimi!
.
We tulia tu bwana mdogo utafulahi mwenyewe
.
vyeti@necta.go.tz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom