Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa,njaa!!hoja dhahifu sana,inayotokana na akili dhaifu..wewe ni mdhahifu kama hoja yako ilivyo.Huyo Monaban aliyeshindwa kusimamia kiwanda chake hadi akawa analialia kwa naibu waziri ataiweza Arusha?
Acha njaa wewe.
Wacha wamlete huyu muuza sembe tumpunguze kilo pale relini alipopark malori yake.kwani lazima mumuweke Tajiri (Monaban) sakata la NMC na uwanja wa Railways vitamuwacha?
Arusha tafuteni chapakazi mwingine
Huyu Gambo pia nafasi anaipigania kwa maslahi binafsi,kutaka kulipinza visasi na taama ya madaraka.Hamna kitu hapaHuenda Gambo akajitosa kuwania jimbo, kaa mkao wa mabadiliko.
Arusha ina International Airport tayari. KIA.Hapo vip!!
Kutokana na Arusha kupitia kwenye machafuko ya kisiasa kama maandamano,mauwaji na vurugu zisizokuwa na maslahi yeyote kwa mkoa wa Arusha na wananchi wa Arusha.
Ni wazi kwasasa mkoa huu unahitaji kiongozi atakae ponya madondo na majereha ya kiuchumi yaliyotokana na ghasia za kisiasa.
Huyu mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema,amekuwa ndio chanzo cha vurugu zote zilizotokea katika mkoa wa Arusha..kwasababu ni mtu ambaye aliitafuta ile nafasi kwa maslahi binafsi na sio kwa maslahi ya watu wa Arusha.
Kwa nini nasema Lema aliitafuta hii nafasi kwa maslahi binafsi...ni nyinyi ni mashahidi...huyu mtu tangia achaguliwe na wanaarusha mpaka sasa hatujawahi kusikia bungeni..akitoa hoja yenye hitaji ya maendeleo katika mkoa huu.
Mfano mrahisi tu ,Arusha ni mkoa ambao kutokana na hadhi yake inahitaji Internation airport..kama ilivyo Dar,mwanza,chato n.k nimeamua kutoa mfano huu kama mfano mdogo kabisa katika mahitaji ya mkoa wa Arusha,na sio lazima angelisemea hili bungeni,kuna mengine mengi.
Mbunge huyu sio mtu sahihi katika jimbo hili,mtu huyu utamuona akiwa mstari wa mbele akigomea jambo fulani bungeni na akiratibu maandamano..Yupo kiarakati zaidi
Arusha kwasasa inahitaji kiongozi mzalendo wa Arusha na anayesimama kwa maslahi wanaarusha.
Kiongozi kama Monoban ni hitaji la Arusha kwa sasa,Arusha inamuhitaji kiongozi mwenye utulivu wa akili,asiye na papara,mwenye hekima na busara katika kufanya maamuzi...mtu mzima fulani,asiyeendeshwa na mihemuko.
Naamini ndani ya CCM kuna viongozi wengi wazuri,nahata kama sio Monoban,mtatuletea mtu mwingine mwenye kuheshimu Arusha na mwenye uwezo wa kuongezea thamani fursa za Arusha.
Arusha poleni kwa mapito
Watu wa Arusha wanataka kiongozi mwenye uwezo wa kuwa kisababishi cha maendeleo Arusha..kumbuka wapinzani wetawala Arusha kwa miaka mingi sasa lakini mambo ndio yameharibika kabisa..sekta ya utalii ipo hoi..ile mikutano ya kimataifa iliyokuwa inafanyika Arusha enzi zile sasa imekuwa historia n.k...mji unadumaa kama ule wa kilimanjaro..Ni hiviiiiiiii watu was Arusha Ni waelewa hawataki kupelekeshwa ndio maana kila wakati wanadai haki . Hilo tu hawawezi kuitaka CCM na subirini muone hata mkimfanyia Lema mizengwe na Chadema yake upinzani kwa tiketi ya chama kingine kitaingia
Yani very stupidyUwe na international Airport 70km from another international airpot?
Hakufikiri.Yani very stupidy
Monaban atatugawia mitaji au atawaongezea wateja uwezo wa kipesa ili kuwa na mzunguko mkubwa wa pesa?Hapo vip!!
Kutokana na Arusha kupitia kwenye machafuko ya kisiasa kama maandamano,mauwaji na vurugu zisizokuwa na maslahi yeyote kwa mkoa wa Arusha na wananchi wa Arusha.
Ni wazi kwasasa mkoa huu unahitaji kiongozi atakae ponya madondo na majereha ya kiuchumi yaliyotokana na ghasia za kisiasa.
Huyu mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema,amekuwa ndio chanzo cha vurugu zote zilizotokea katika mkoa wa Arusha..kwasababu ni mtu ambaye aliitafuta ile nafasi kwa maslahi binafsi na sio kwa maslahi ya watu wa Arusha.
Kwa nini nasema Lema aliitafuta hii nafasi kwa maslahi binafsi...ni nyinyi ni mashahidi...huyu mtu tangia achaguliwe na wanaarusha mpaka sasa hatujawahi kusikia bungeni..akitoa hoja yenye hitaji ya maendeleo katika mkoa huu.
Mfano mrahisi tu ,Arusha ni mkoa ambao kutokana na hadhi yake inahitaji Internation airport..kama ilivyo Dar,mwanza,chato n.k nimeamua kutoa mfano huu kama mfano mdogo kabisa katika mahitaji ya mkoa wa Arusha,na sio lazima angelisemea hili bungeni,kuna mengine mengi.
Mbunge huyu sio mtu sahihi katika jimbo hili,mtu huyu utamuona akiwa mstari wa mbele akigomea jambo fulani bungeni na akiratibu maandamano..Yupo kiarakati zaidi
Arusha kwasasa inahitaji kiongozi mzalendo wa Arusha na anayesimama kwa maslahi wanaarusha.
Kiongozi kama Monoban ni hitaji la Arusha kwa sasa,Arusha inamuhitaji kiongozi mwenye utulivu wa akili,asiye na papara,mwenye hekima na busara katika kufanya maamuzi...mtu mzima fulani,asiyeendeshwa na mihemuko.
Naamini ndani ya CCM kuna viongozi wengi wazuri,nahata kama sio Monoban,mtatuletea mtu mwingine mwenye kuheshimu Arusha na mwenye uwezo wa kuongezea thamani fursa za Arusha.
Arusha poleni kwa mapito
Nilijua baridi imepungua.Hapo vip!!

Monaban kwa mtazamo wangu, mambo yafuatayo yatamwangushaHaya tumekuelewa kwamba unataka Monaban awe mbunge wa Arusha mjini in (Jiwe's Voice)
Umeandika UjingaNingekushauri huu muda unaotumia kunijibu,ungetumia kujifunza kuandika na kupanga hoja vizuri.
Ila kwasababu,akili yako na ya Lema zinafikiri at the same line sina haja ya kubishana sana na mtu kama wewe.
Pamoja na kauli hizo kutoka kwa viongozi mbalimbali kuhusu kutokupeleka miradi ya maendeleo kwenye majimbo ya upinzani.
Lema ameplay role gani...yakuonyesha anamawazo chanja aliyoyatoa bungeni kwa maslahi ya mkoa wa Arusha...angekuwa anafanyahayo maandamano kutetea hoja zake anazozitoa bungeni zenye maslahi na mkoa huu at least...ni mradi gani aliomba bungeni kwa maslahi ya Arusha ikakataliwa na bunge au na serikali.
Kusema imesemekata majimbo ya upizani wasahau miradi ya maendeleo na kuishia hapo haitosha..sema ni mradi gani ulipendekeza bungeni kwa ajili ya jimbo lako,ikakataliwa.