Uchaguzi 2020 Kwa namna Arusha ilivyotaabika, kwa sasa tunahitaji Monoban awe mbunge wa Arusha

kwani lazima mumuweke Tajiri (Monaban) sakata la NMC na uwanja wa Railways vitamuwacha?
Arusha tafuteni chapakazi mwingine
 
Huyo Monaban aliyeshindwa kusimamia kiwanda chake hadi akawa analialia kwa naibu waziri ataiweza Arusha?
Acha njaa wewe.
Njaa,njaa!!hoja dhahifu sana,inayotokana na akili dhaifu..wewe ni mdhahifu kama hoja yako ilivyo.
 
Aisee ile pesa ya Monaban since 2015 mpaka sasa bado mnaitafuna tu.

Akiwapa unga wa ugali na pesa kuleni tena ila mwisho wa siku nikumchinjia chini kama kawaida.
 
Arusha ina International Airport tayari. KIA.
 
Arusha kuna kero nyingi ndogondogo, ni kuna vitu vingine hata bwana afya angeweza kudili navyo mfano uchafu soko la Kilimbero hasa kipindi cha mvua ni hatari sana kwa afya, kwa kweli miundombinu ni mibovu sana, bado sijazungumzia stend ya daladala ya hapo kilombero, bado sijazungumzia daladala za mapank na visit vifupivifupi yaani ukikaa utadhani umekalia kigoda hasa kwa sisi warefu tunapata shida sana.

Anahitajika kiongozi mwenye utashi wa kuondoa hizi kero ili Arusha iendane na sifa ya kuwa jiji la kitali nashauri wenye mamlaka wangeondoa daladala zote kuukuu pale mjini, hasa mapank na kuruhusu super roof safi na coster safi kufanya kazi ya daladala Arusha, pia wangeondoa mashamba ya migomba na vibanda au nyumba zilichoka mjini kwa kuzingatia taratibu ikiwemo kuwapa wahusika maeneo mengine.
 
Ni hiviiiiiiii watu was Arusha Ni waelewa hawataki kupelekeshwa ndio maana kila wakati wanadai haki . Hilo tu hawawezi kuitaka CCM na subirini muone hata mkimfanyia Lema mizengwe na Chadema yake upinzani kwa tiketi ya chama kingine kitaingia
 
Ni hiviiiiiiii watu was Arusha Ni waelewa hawataki kupelekeshwa ndio maana kila wakati wanadai haki . Hilo tu hawawezi kuitaka CCM na subirini muone hata mkimfanyia Lema mizengwe na Chadema yake upinzani kwa tiketi ya chama kingine kitaingia
Watu wa Arusha wanataka kiongozi mwenye uwezo wa kuwa kisababishi cha maendeleo Arusha..kumbuka wapinzani wetawala Arusha kwa miaka mingi sasa lakini mambo ndio yameharibika kabisa..sekta ya utalii ipo hoi..ile mikutano ya kimataifa iliyokuwa inafanyika Arusha enzi zile sasa imekuwa historia n.k...mji unadumaa kama ule wa kilimanjaro..

Watu Arusha kwa sasa wanataka maendeleo na sio upinzani usiokuwa na tija kwao.
 
Nilijua tu utakuwa nzi wakijani ..alaf kwani iyo KIA haiwatoshi mpka mtake airport yenu binafsi yani ni sawa na kuwa na airport dar alaf nyingine iwepo maili moja does not make sense tumieni iyo ya KIA msituchoshe unafikiri airport ni mapera ukiwa na ham tu unachuma chuma
 
Kipindi hiki chadema wanaumia.sana.vichwa,hawana uhakika wa kupata jimbo lolote
 
Huyo monoban anachezea tu hela zake za mavuno, aachane na siasa hajawahi hata kuwa kiranja shuleni, apambane na kilimo, international airport Arusha ya Nini wakati Kia ipo, lema amesababisha machafuko gani Arusha mbona sisi hatukuwahi kusikia?
 
Kwani kuna mbunge hata mmoja wa CHADEMA aliyeenda BUNGENI kwa ajili ya kukutetea maslahi ya wananchi?? Kama yupo mtaje na sema kafanya nini ??! CHADEMA wote ni maslahi binafsi tu hata CCM wapo wengi tuu.
 
Monaban atatugawia mitaji au atawaongezea wateja uwezo wa kipesa ili kuwa na mzunguko mkubwa wa pesa?
 
Nilijua baridi imepungua.
waliotumbuliwa ndo walikuwa wanaleta vurugu
 
Haya tumekuelewa kwamba unataka Monaban awe mbunge wa Arusha mjini in (Jiwe's Voice)
Monaban kwa mtazamo wangu, mambo yafuatayo yatamwangusha
1. Number Moja Hamkubali monaban(Sio monaban tu, matajiri wengi hawakubali, Kumbuka mzee alikomand anyang'anywe) Mzee anahitaji watu submissive to the maximum; refer statement zake, mwaka huu atainjinia hata kwenye udiwani.
2. Siasa za Huko Arusha zinahitaji mtu mtata kidogo( Monaban ana siasa za Kidini)
3. Alikuja Ughaibuni last Year kwenye Gospel Summit flan ivi, tulipata kuzungumza naye katika mazungumzo Anaonesha kama yeye binafsi hana nia ( Sasa inawezekana kwa push, na maneno ya watu akapata hamu/tamaa ya kurejea kwenye nia)
 
Umeandika Ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…