Uchaguzi 2020 Kwa namna Arusha ilivyotaabika, kwa sasa tunahitaji Monoban awe mbunge wa Arusha

Arusha anakuja Dogo janja kupitia CCM, huyo kuleni tu hela yake
 
Wewe mlevi wa chang'aa hebu jisome Aya ya pili na ya mwisho kabla ya kunisakama.mawazo chanja ni kitu gani? Imesemekata ni kitu gani? Endelea kutumika kwani ndilo unalolimudu! Mjinga na nusu!
 
Wabunge maslahi tunao sisi mkoa wa Ruvuma huyo mbona mchapakazi tungempata uku kwetu tungejivuna, sema uccm ni tatizo Kona wanafanya vizuri kumbe washangiliaji wa upumbavu bungeni
 
Lema ana vurugu au au anavurugwa na yule mwenye (sura, lugha & roho mbaya) mpenda inda na chuki za kisiasa?
Arusha ipo kisongo airport unataka yaaina gani ?
Ni kweli sasa mbunge anapelekeshwa kama katoto kadogo laiti mngemuona hadi aibu jamani .
Anafungwa ,anateswa kama nini ila bora mtu uwe ccm mie ni ccm tokea miaka na miaka sitaki presha .
 
Sio anapenda inambidi kisa kachoka kukaa na njaa yote heri ukiwa rangi ya kijani .
 
Jamaa anautaka ubunge ili akwepe kodi zama hizo hazipo
 
Eti wana Arusha hicho kikao kilifanyika lini wapi saa ngapi sio unakurupuka kutoka kunywa dadii
 
Siasa sio ujinga. Kinachofanywa na chama tawala ni ujinga. Ujinga katika suasa ni pale siasa inapowabagua wananchi kwa msingi wa siasa kama chama tawala na wajinga wanavyofanya kwa maneno na matendo yao. Wananchi wajinga wapo lakini ni wachache. Ngoja tuone uonevu, ujinga na bao la mkono litakapo kutana na ukweli wa wananchi.
 
Wewe mlevi wa chang'aa hebu jisome Aya ya pili na ya mwisho kabla ya kunisakama.mawazo chanja ni kitu gani? Imesemekata ni kitu gani? Endelea kutumika kwani ndilo unalolimudu! Mjinga na nusu!

Chang'aa ni kitu gani,mimi siijui hiyo kitu,nina imani mpaka unakitaja kitu maana yake unakijiua na inaoneka wewe ni mtumiaji mzuri kwasababu mtu mwenye akili hujibu hoja kwa hoja na sio kuanza kuleta story za changa'aa ni ishara ya udhahifu mkubwa wa akili ulionaya,hata the way unavyotoa hoja imekaa kichanga'aa kama unavyojinasibu..pili haya maswali unayoniulize nikupe majibu nadhani hukumaliza hata shule ya msingi wewe,na ndio maana unaleta akili za kichang'aa humu ndani..uneducated idiot.
 
Lema ndio chaguo hyo monaban najua kakupa kiroba cha sembe basi umeisahau mpaka kesho yako shenzi wewe!
Tatizo vijana wa chama chakavu njaa tu tena na kipindi hiki akili huwa wanaziweka kwenye kwapa kichwani huwa imebaki frem tu ya akili
 
Haya Dada mpendwa, hongera kwa kumalizia shule pasi na kuelimika! Laiti ungeelimika usingekuwa unawapigia wengine chapuo la kuchafuliwa Bali ungejinadi mwenyewe! Tukianza kupimana habari za shule mbona tutakimbiana humu!
Hiyo shule yako mpuuzi wewe no ya kiwango gani zaidi ya zile za kata za kwenda na jembe, fagio na kudumu Cha maji? Kalambe miguu ya wanaume ili Ile vinginevyo utakufa njaa! Mataga mengine hayana tofauti na takataka!
 

Kwani ni nani anayefanya vurugu kama si hao CCM?
Soma hii kauli aliyoitoa Ghambo "kama kuna mwanaCCM anaweza kufanya vurugu hapa mjini, CCM ikaonekana, muacheni afanye vurugu. mbunge sio wetu, tunaanza kuremba-remba na kutumia ustaarabu ili iweje? Tunataka kuona wanachama wa CCM wanafanya vurugu kila tawi, kila kata" — Mrisho Gambo, akiwa RC-Arusha, June 2018
 
Wee ni zaidi ya pimbi
 
Aaendelee na biashara zake za mazao huyo hana nafasii Arusha.
 
Mleta mada Ni poyoyo wa siasa,kwa taarifa Kama ulikuwa hujui,Ni kipindi Cha Lema ndo..
Barabara za lami zimeongezeka kwa Kasi ya ajabu Arusha.

Tatizo la maji kuwa historia Arusha.

Elimu ya uraia na kujitambua imewafkia watu wengi Arusha.

Mapato au makusanyo kuongezeka zaidi ya Mara 3 kulinganisha pindi CCM ikiwa imeshika halimashauri me hapa Ni wazi CCM ilikuwa inafisadi halimashauri.

Kama unakumbuka kabla ya jiwe kunyang'anya makusanyo Lema na halimashauri yake ya Arusha ilianza kujenga shule kwa kiwango Cha orofa mfano Sombetini,baada ya jiwe Kuona mipango mizuri ya Lema na halimashauri yao akawanyang'anya makusanyo,na huu ulikuwa ni uhuni ili wasifanye maendeleo kwenye majimbo yao.
CCM hamna kitu kazi kuiba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…