Uchaguzi 2020 Kwa namna Arusha ilivyotaabika, kwa sasa tunahitaji Monoban awe mbunge wa Arusha

Binafsi sikulamu kwa uelewa wako,kwa sababu hata hapa Arusha..watu waliompa Lema kura na wapigadebe wengi alionao ni watu wahuni,wenye upeo mdogo sana,watu wasiokuwa na uwezo wa kung'amua mambo,hawa ndio wafuasi wa huyu mtu hapa mjini ila watu wenye uwezo mkubwa wa akili na wasomi,wanamuona Lema kama mtu duni kiuwezo katika maswala ya uongozi na mwenye kutumia nafasi hiyo kwa maslahi binafsi.

Nirejee kwenye mada husika,ujenzi wa barabara za ndani ya jiji la Arusha,ni project ya world bank..ambayo ilianza kipindi cha Kikwete na sio Lema ameanzisha viguvugu za ujenzi wa barabara hizi..ila kwasababu anajua wafuasi wake wanaupeo wa chini basi anatumia hili kama daraja lakupatia kura.

Shule ni kitu muhimu sana.
 
Naona kadri ninavyokujibu nakupa credit humu ndani..
Akili zangu sio za shindana na mtu mwenye akili duni kama wewe,unayetuletea taarabu humu ndani.
 
CCM inayo hazina kubwa ya watu ndio maana hata Mtera yupo Kibajaji na Geita yupo Msukuma.

Jee wana Arusha ndio wamekutuma kuwa wanahitaji watu kama Kibajaji?
Bure kabisa wewe!
Kumbe unamjua eee
 
Ten
Tena ukome kuinajisi Arusha , Arusha haina mkazi yeyote mpuuzi asiye na akili kama wewe . Huo upuuzi wako peleka Chato huko maporini kwenu
Hivi wewe una SAFURA?
kwanini umeni quote kwa kuuliza swali kuwa Chakaza anamjua huyo Monaban?
Nimekosea wapi?
 
Watu wa Arusha wakina nani?na ni lini tumekwambia tunamtaka mono?na ni lini tumekuteua utuzungumzie?na kama mpaka sasa umeshajua tunamtaka nani hapo naona dalili zote za wizi wa kura,uwezi kujua tunamtaka nani kabla hata atujapiga kura!usituzungumzie sisi,zungumzia nafsi yako,box ya kura ndio itasema watu wa Arusha tunamtaka nani full stop
 
Tusubiri tuone kama huyo Lema atapita ndio utajua wewe ni mpita njia hapa Arusha..huyo Lema ajiandaye kisaikologia.
 
Upo darasa l ngapi ktk primary education ?
 
Naona kadri ninavyokujibu nakupa credit humu ndani..
Akili zangu sio za shindana na mtu mwenye akili duni kama wewe,unayetuletea taarabu humu ndani.
Bora ukimbie maana nilikuwa na mpango wa kukuombea lift kwenye Basi la buza urudi kwenu kwa lulenge huku mjini Kati hupawezi! Ati una akili, basi sawa, ndio maana unaishabikia ccm! Wenye akili huandika kiswahili kilichonyooka sio hiki Cha kwako Cha Burundi!
 
Kusanya "kweli" zako pamoja. Mikutano ya kimataifa na Lema tena!!!
Eh! Mkuu muwe mnaangalia bwana ....mfano Mkapa alikuza per capita kwa kiwango kikubwa kutoka kilipokuwa lakini sasa kazi yote inaonekana Rais wa sasa...naam waliosababisha fujo na mauaji Arusha unawajua lakini umempa Lema hilo.
Aliepoza moto wa mahusiano ya kidiplomasia/jumuiya ya kimataifa unamjua lakini unamlalamikia Lema😂.
Duh kweli Chadema walimuua Acquilina😆 kama ndio hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…