Kwa namna hii Serikali iweke VAR hata kwenye ngumi. Mwakinyo hajashinda kabisa kuanzia mwanzo alipelekewa moto

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo.

Mtu anapelekewa mwanzo mwisho halafu anapewa ushindi wa mchongo.

Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?

Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo.

Mtu anapelekwa mwanzo mwisho alafu anapewa ushindi wa mchongo.

Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
Sijabahatika kuliona hilo pambano, ila katika ngumi kuna vigezo vya kuhesabu point. Hii inamaana mtu kushambulia si lazima awe anapata points maana ngumi zinaweza kuwa hazifiki mwilini ila zinaishia kwenye "nguard" ya mshambuliwaji.

Kupeleka moto kunaweza kukupa point kama mpinzani hajibu mapigo na anarudi nyuma tu. Refa anaweza kumuonya na akizidi kutojibu mapigo anaweza katwa point au mshambuliajji akapewa point na majaji.

Swali jee wakati Mwakinyo akishambuliwa alikuwa anajibu mapigo? Baada ya jibu la swali hili angalia kama ngumi zipi zilikuwa zinafikia target za Mwakinyo au huyo jamaa? Kisha toa mtazamo wako.
 
Sija bahatika kuliona hilo pambano, ila katika ngumi kuna vigezo vya kuhesabu point. Hii inamaana mtu kushambulia si lazima awe anapata points maana ngumi zinaweza kuwa hazifiki mwilini ila zinaishia kwenye "nguard" ya mshambuliwaji.

Kupeleka moto kunaweza kukupa point kama mpinzani hajibu mapigo na anarudi nyuma tu. Refa anaweza kumuonya na akizidi kutojibu mapigo anaweza katwa point au mshambuliajji akapewa point na majaji.

Swali jee wakati Mwakinyo akishambuliwa alikuwa anajibu mapigo? Baada ya jibu la swali hili angalia kama ngumi zipi zilikuwa zinafikia target za Mwakinyo au huyo jamaa? Kisha toa mtazamo wako.
Ngumi Afrika ukitaka kushinda ugenini mpigie mpinzani wako kwa knockout tu, vinginevyo umepigwa,
 
Miaka ya nyuma mabondia wa Cuba walikuwa wame-specialize kwenye knockout. Hivyo wakienda kwenye michuano ya Olympics wao ilikuwa mtindo ni knockout tu maana waliamini hawatatendewa haki linapokuja suala la ushindi wa point. Namkumbuka marehemu Teófilo Stevenson Lawrence bingwa uzito wa juu (heavyweight) wa Olympics mara tatu.
 
Kwenye ngumi ukimkosa mtu Kwa knock out, pointi hazinaga mwenyewe.. Bias iko sana
 
Miaka ya nyuma mabondia wa Cuba walikuwa wame-specialize kwenye knockout. Hivyo wakienda kwenye michuano ya Olympics wao ilikuwa mtindo ni knockout tu maana waliamini hawatatendewa haki linapokuja suala la ushindi wa point. Namkumbuka marehemu Teófilo Stevenson Lawrence bingwa uzito wa juu (heavyweight) wa Olympics mara tatu.
Halafu ukute unapambana na muamerika au muingereza.
 
Back
Top Bottom