Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
[emoji1787][emoji1787]Ukimchukia mwakinyo inakusaidia nini?
Chuki inakufanya mpaka uonaongea vitu vya hovyo
Serikali + VAR + Ngumi , ndani ya sentensi moja.
Aseeeee.
Sijabahatika kuliona hilo pambano, ila katika ngumi kuna vigezo vya kuhesabu point. Hii inamaana mtu kushambulia si lazima awe anapata points maana ngumi zinaweza kuwa hazifiki mwilini ila zinaishia kwenye "nguard" ya mshambuliwaji.Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo.
Mtu anapelekwa mwanzo mwisho alafu anapewa ushindi wa mchongo.
Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
Ngumi Afrika ukitaka kushinda ugenini mpigie mpinzani wako kwa knockout tu, vinginevyo umepigwa,Sija bahatika kuliona hilo pambano, ila katika ngumi kuna vigezo vya kuhesabu point. Hii inamaana mtu kushambulia si lazima awe anapata points maana ngumi zinaweza kuwa hazifiki mwilini ila zinaishia kwenye "nguard" ya mshambuliwaji.
Kupeleka moto kunaweza kukupa point kama mpinzani hajibu mapigo na anarudi nyuma tu. Refa anaweza kumuonya na akizidi kutojibu mapigo anaweza katwa point au mshambuliajji akapewa point na majaji.
Swali jee wakati Mwakinyo akishambuliwa alikuwa anajibu mapigo? Baada ya jibu la swali hili angalia kama ngumi zipi zilikuwa zinafikia target za Mwakinyo au huyo jamaa? Kisha toa mtazamo wako.
KabisaUkimchukia Mwakinyo inakusaidia nini?
Chuki inakufanya mpaka uonaongea vitu vya hovyo
Serikali + VAR + Ngumi, ndani ya sentensi moja.
Aseeeee.
Miaka ya nyuma mabondia wa Cuba walikuwa wame-specialize kwenye knockout. Hivyo wakienda kwenye michuano ya Olympics wao ilikuwa mtindo ni knockout tu maana waliamini hawatatendewa haki linapokuja suala la ushindi wa point. Namkumbuka marehemu Teófilo Stevenson Lawrence bingwa uzito wa juu (heavyweight) wa Olympics mara tatu.Ngumi Afrika ukitaka kushinda ugenini mpigie mpinzani wako kwa knockout tu, vinginevyo umepigwa,
Halafu ukute unapambana na muamerika au muingereza.Miaka ya nyuma mabondia wa Cuba walikuwa wame-specialize kwenye knockout. Hivyo wakienda kwenye michuano ya Olympics wao ilikuwa mtindo ni knockout tu maana waliamini hawatatendewa haki linapokuja suala la ushindi wa point. Namkumbuka marehemu Teófilo Stevenson Lawrence bingwa uzito wa juu (heavyweight) wa Olympics mara tatu.
Ilikuwa ngumu kwa mcuba kushinda kwa point.Halafu ukute unapambana na muamerika au muingereza.
Noma kinoma kuna mataifa yapo vizuri lakini dhuluma sana.Ilikuwa ngumu kwa mcuba kushinda kwa point.