Kwa namna tunavyofanya Yanga, wacha wanifukuze

Umeongea ukweli mtupu huu ujinga wa kupanga matokeo unalishusha hadhi soka letu na wahuni kama gsm na yanga wanatakiwa washughulikiwe ili waachane na upumbavu huu wa kupanga matokeo.
 
Nilishangaa kocha wa KMC anamshukuru GSM baada ya kufungwa na Yanga.

Au ndio saidia tim ya ufadhiri wetu ishinde.
 
halafu ndo yule msemaji wetu mwenye utapia mlo utamkuta anawasihi mashabiki kwenda uwanjani kuishabikia team yao, kwa mpira gani sasa? Mechi zimeshachezwa mezani tuje uwanjani kufanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…