Kwa namna yoyote ile mwanaume usikubali kuishi kwenye nyumba au chumba kinachomilikiwa na mwanamke

Yah ni Sawa, but ukiona hayo yanatokea ujue kuna shida

Kila mtu wakati wakati Yuko Mtoto alikuwa anataka kuwa Dr au pilot but now ni bodaboda
Hatukatai kuwa mambo ni tight lakini option ya kukimbilia kwa mwanamke ni option ya kijinga kwa mwanaume.....ni kama vile umesalimu amri na umeomba uolewe
 
Kwanza uboorrrrr unadindishaje ndani ya chumba/ nyumbani kwa mwanamke??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu umeendaa mbalii sanaa.
😂😂😂 kweli uduguu.!!
Hivi mwanaume guts za kulala kitanda hata hujui kilinunuliwaje unapata wapi??
Ni kuweka rehani kiboga chake tu.!
 
Habari za muda huu,

Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.

Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.

Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.

Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.

NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.
Hapo mwanaume unakuwa umeolewa na sio kuoa. Na lolote utakalofanyiwa ni halali kabisa.
 
Hi
Habari za muda huu,

Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.

Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.

Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.

Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.

NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.
Hili nalo mkalitazame
 
Hata kwenda kumzagamua kwake wasijaribu wataliwa wao ohhhh!! 😹
Hapo naona umepotosha mkuu, siliwi zaidi ya kumla yeye.

Hakuna sehemu mkongo wangu unasoma mbaya, kama kwenye chumba cha mwanamke, bila kujali ni chake au kapangishiwa na mhuni!

Kukaribishwa kwenye chumba hicho mambo mawili hunijia kichwani: bibie kanipenda sana kuliko huyo mpumbaf aliyempangishia chumba hicho.

Humuona mwenye huruma na anajiamini.

Mtego huo pekee hunifanya nihonge pakubwa nile padogo.

Wanaosema kunalimbwata, ijapo hawakosei lakini sababu kubwa ya kukamatika kwenye mapenzi hutokana na kuchezewa na mtu kisaikolojia.
 
Habari za muda huu,

Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.

Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.

Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.

Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.

NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.
Dah kweli
 
Mwanaume unapata wap ujasiri wakulala ghetto la mwanamke 🤔😅
Hapa ninapoishi yaani nyumba niliyopanga Ina vyumba viwili lakini imejengwa kisasa na Ina geti ndani unaweza kupaki gari ndogo.

Hapa naishi na dada Fulani ni muhudumu wa afya kwenye hospital moja hivi hapa dar, huyu dada nimeshuhudia akivusha Mara kadhaa hivi na ni washkaji tofauti tofauti, Sasa huwa najiuliza anawapangiliaje😀

Na ni nani anayelipa Kodi? What if siku moja treni zikakutana kati Kwa kati? Demu anatamani sana siku moja nimuombe mchezo lakini nikiwaza naona hapana, Kuna bili ya maji, Kuna bili za umeme hapa Kuna pesa ya nataka ya kila mwezi, kwakweli sitaki kuingia kwenye mfumo.

So siwezi kufikia stage nikamuamini mwanamke mpaka kulala geto kwake.
 
Habari za muda huu,

Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.

Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.

Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.

Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.

NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.
Najua wengi wataona kama sipo sawa, ila kuliko ukaishi ukweni ni heri utoroke familia ukajitafute, okota hata makopo ya plastiki kisha panga geto la 10k kwa mwezi. Kuishi ukweni ni kama retaliation , I'm sorry and I'm out.
 
Mwanaume utasaga meno na kujuta ukiishi ukweni au kwenye nyumba au chumba cha mwanamke!
 
Najua wengi wataona kama sipo sawa, ila kuliko ukaishi ukweni ni heri utoroke familia ukajitafute, okota hata makopo ya plastiki kisha panga geto la 10k kwa mwezi. Kuishi ukweni ni kama retaliation , I'm sorry and I'm out.
Umeongea au umeandika ukweli mchungu....
 
Back
Top Bottom