KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
-
- #41
Hatukatai kuwa mambo ni tight lakini option ya kukimbilia kwa mwanamke ni option ya kijinga kwa mwanaume.....ni kama vile umesalimu amri na umeomba uoleweYah ni Sawa, but ukiona hayo yanatokea ujue kuna shida
Kila mtu wakati wakati Yuko Mtoto alikuwa anataka kuwa Dr au pilot but now ni bodaboda
😂😂😂 kweli uduguu.!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu umeendaa mbalii sanaa.
Acha kumsagia kunguni watu wanapotea hovyo sahv mkuu 😂Ngoja ni mtag mkewe huwezi kumwambia Baba Abdul akili yake ina shida mahali@sa100
Hatukatai kuwa mambo ni tight lakini option ya kukimbilia kwa mwanamke ni option ya kijinga kwa mwanaume.....ni kama vile umesalimu amri na umeomba uolewe
Wew kaza fuvu😅😅Ukitaka ufanikiwe kwenye maisha ya mahusiano
Usifate ushauri wa mtu yoyote
Fanya kile Moyo wako unaona ni Sawa
Mwisho wa siku Maisha ni yako
Hapo mwanaume unakuwa umeolewa na sio kuoa. Na lolote utakalofanyiwa ni halali kabisa.Habari za muda huu,
Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.
Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.
Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.
Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.
NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.
Hili nalo mkalitazameHabari za muda huu,

Ni hatari sanasio tu kuishi hata kulala usiku mmoja kama hulip kodi don’t try it
Hapo naona umepotosha mkuu, siliwi zaidi ya kumla yeye.Hata kwenda kumzagamua kwake wasijaribu wataliwa wao ohhhh!! 😹
Dah kweliHabari za muda huu,
Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.
Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.
Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.
Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.
NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.
Mimi nawaambiaga washkaji zangu Ila wanachukulia utani but most of time wanaona ndo ujanja.sio tu kuishi hata kulala usiku mmoja kama hulip kodi don’t try it
Hapa ninapoishi yaani nyumba niliyopanga Ina vyumba viwili lakini imejengwa kisasa na Ina geti ndani unaweza kupaki gari ndogo.Mwanaume unapata wap ujasiri wakulala ghetto la mwanamke 🤔😅
Najua wengi wataona kama sipo sawa, ila kuliko ukaishi ukweni ni heri utoroke familia ukajitafute, okota hata makopo ya plastiki kisha panga geto la 10k kwa mwezi. Kuishi ukweni ni kama retaliation , I'm sorry and I'm out.Habari za muda huu,
Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.
Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.
Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.
Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.
NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.
Mwanaume utasaga meno na kujuta ukiishi ukweni au kwenye nyumba au chumba cha mwanamke!Habari za muda huu,
Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.
Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.
Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.
Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.
NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.
Ndio tunawakumbusha hapa wanaume wenzetu ili wasije kulia na kusaga meno.......Mwanaume utasaga meno na kujuta ukiishi ukweni au kwenye nyumba au chumba mwanamke!
Umeongea au umeandika ukweli mchungu....Najua wengi wataona kama sipo sawa, ila kuliko ukaishi ukweni ni heri utoroke familia ukajitafute, okota hata makopo ya plastiki kisha panga geto la 10k kwa mwezi. Kuishi ukweni ni kama retaliation , I'm sorry and I'm out.