Kwa namna yoyote ile mwanaume usikubali kuishi kwenye nyumba au chumba kinachomilikiwa na mwanamke

Hili tunaliongea kila siku kwenye vikao na mwenyekiti anasisitiza:

1. Marufuku mwanaume kuishi kwenye nyumba/chumba cha mwanamke

2. Marufuku mwanaume kujenga karibu na wakwe au kujenga kwenye kiwanja cha mke wako.

3. Ni marufuku mwanaume kufanya au kutekeleza lile ambalo mkeo ametoka nalo kwao. Mwisho kabisa kwenye vikao na hili mwenyekiti amekuwa anasisitiza mno mno, mwanaume hutakiwi kuingia kwenye ndoa ikiwa umefungwa 1-0
 
Sio tu mahala anapoishi mwanamke bali hata vitu vya mwanamke ewe mwanaume ukivitolea macho jiandae kwa lolote.
 
Kwaiyo Baba abduli atoke pale magogoni mkuu au ulikua unamaanisha Nini.....
fala wewe, nimecheeeeekaa! ila nahs hata huwa hakai we mara ya mwisho umemuona lini?
Jamaa hataki kabisa mambo ya kuwa sijui mume wa.............. ah weeee kafeeeeni mbele kule na title zenu za kiwaki!
 
Unalalaje kwa mwanamke?,unaishiji kwenye nyumba aliyojenga mwanamke ama kupanga mwanamke,i do better sleep around bus station lakini sio kuweka mbavu kwa mwanamke,unalala na usingizi unakuja,aiseee litakukuta jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…