Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,428
- 3,937
Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools?
Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa.
Kama ni jambo linaloonekana si busara kulizuia kabisa, ingewezekana basi kuwacharge 'luxury tax' wamiliki wa madimbwi haya.