Nadhani tutawaonea wenye swimming pool kwanini hatuvuni maji katika reserve dams yote yanapotelea baharini wakati na hii global warming bahari inapata maji toka North Pole milima ya barafu inayeyuka.Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools?
Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa.
Kama ni jambo linaloonekana si busara kulizuia kabisa, ingewezekana basi kuwacharge 'luxury tax' wamiliki wa madimbwi haya.
Tuna bahati na kuwa na maziwa makubwa sana duniani Tanganyika Victoria Nyasa kwanini hatuchukui maji uko kwenye vyanzo vikubwa sana vya maji tubabaki kulilia tu mvua ikichelewa kidogo sana.