Kwa nchi yenye matatizo makubwa ya maji, tunaruhusu vipi swimming pools?

Kwa nchi yenye matatizo makubwa ya maji, tunaruhusu vipi swimming pools?

Nchi ina maji mengi ya kutosha zaidi ya Saudi Arabia, Emirates na Israel zilizo jangwani
 
Ujamaa ni mfumo wa kijinga Sana kuwahi kutokea hapa Ulimwenguni maana hufanya watu kuwaza mawazo ya kimasikini Sana Kama mleta mada
Aliposema tu msukuma nikajua shida iko wapi! Tatizo ni ushamba na kukosa exposure! Badala aelimishe watu wake kupunguza idadi ya mifugo na kuacha kukata miti ili tusiwe na ukame yeye anakuja na hoja eti kusijengwe swimming pools!

Ujinga ni kipaji!
 
Tanzania hakuna Serikali kwenye mambo ambayo hayahusu power, Serikali utaiona tu kwenye kuzuia maandamano, kumlinda Raisi au sijui kufungia vyombo vya habari na misafara ya raisi basi.

Tanzania unaweza kuanza kujenga nyumba mpaka unamaliza hakuna mtu anakuuliza chochote, hati ya nyumba ni juu yako kama ukitaka.

Na hilo ni eneo moja tu la ujenzi kila mahali ni hivyo Tanzania kuna shule binafsi Serikali hata haijui inafundisha vitu gani watoto, Tanzania unaweza kuamua kufundisha watoto Kihispaniola hakuna mtu atakuuliza kitu.

Sisi ni primitive sana kwa kweli.
Halafu ukaishi hapo miaka 20 hadi Uongozi wa Mtaa ukapewa.
 
Ni sawa na kudai 'luxury tax' kwa kumiliki gari binafsi sababu wengi hawana magari pamoja na kusababisha vifo vya watu na kuchafua mazingira. Kwa hiyo wananchi wote watumia bodaboda, bajaji na mabasi.
 
Aliposema tu msukuma nikajua shida iko wapi! Tatizo ni ushamba na kukosa exposure! Badala aelimishe watu wake kupunguza idadi ya mifugo na kuacha kukata miti ili tusiwe na ukame yeye anakuja na hoja eti kusijengwe swimming pools!

Ujinga ni kipaji!
Ila mwenyewe alisema atanangwa , na akajitetea anatoka wing ya sgang.
 
Aliposema tu msukuma nikajua shida iko wapi! Tatizo ni ushamba na kukosa exposure! Badala aelimishe watu wake kupunguza idadi ya mifugo na kuacha kukata miti ili tusiwe na ukame yeye anakuja na hoja eti kusijengwe swimming pools!

Ujinga ni kipaji!
Shida ya mtu mjinga hujiona anajua ilihali hajui na ubaya yeye mwenyewe haoni Kama hajui
 
Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools?

Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa.

Kama ni jambo linaloonekana si busara kulizuia kabisa, ingewezekana basi kuwacharge 'luxury tax' wamiliki wa madimbwi haya.
Unazungumzia nchi gani?
 
Mipango mibaya ya serikali ya ccm,nini kinazuia mji wa singida kujenga mabwawa ya kuvuna maji ya mvua?jiji kubwa la cape town linategemea mabwawa ya maji yatakanayo na mvua!jiji kubwa la joberg maji mengi yanatoka pale vaal dam!tuendelee kusubiri meli yetu ya Noah pale KIA.
Kuliko wachukua 5bn kujenga bwawa linaliweza kuhudmia Thousands of Citzen bora watumie hizo pesa kununua mpinzani, kumuwinda Diwani wa chadema na kurudia uchaguzi wa Bn 10.

Hii nchi kama haijalaaniwa basi inaongozwa na viongozi wenye laana
 
Hata kula biriyani ya elfu 10 sahani nayo ipigwe "luxury tax". Watu wale wali rundo, nyama 3 , na maharage kwa Mama Ntilie.
 
Ndio ushangae Sasa tena maji ya ziwa huwa hayana chumvi na wananchi wanateseka kwa kukosa maji
Tukiyachota sana tutapunguza maji ya kwenda Nile river kuhudumia waliobarikiwa huko.

Kila kitu kinatokea kwa sababu.
 
Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools?

Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa.

Kama ni jambo linaloonekana si busara kulizuia kabisa, ingewezekana basi kuwacharge 'luxury tax' wamiliki wa madimbwi haya.
Utakuta wewe na ni baba/mama na watoto mume/mke wanakutegemea kwenye maisha yao kwa miongozo mbalimbali😢😢😢.
 
Back
Top Bottom